Samahani naomba kuuliza jamani..

Hata pikipiki likipita jirani,mbwa anabweka kwa hiyo mi nafikiri kwakuwa zile megaphone za kwenye misikiti zimewekwa juu,na sauti yake ni ya juu vilevile,hapo mbwa wanashtuka na kuanza kubweka.
Sidhani kama,ni lazima wanasayansi au sijui wachawi kwa hili.
 
 
Yale maspika yanawaumiza mbwa masikio. acheni kulumbana kwa mambo madogo hivi. MBWA ana uwezo mkubwa sana wa kusikia mara elfu compare na binadamu hivyo ile sauti inampenya sana ndiyo maana wanaliaga.
 
Je umefanya research kwa kutumia mbwa wangapi na misikiti mingapi na kwa muda gani? Je unavyoona utafiti wako unafaa kuitwa utafiti, udurusi au tuseme hisia tu? Mbona swali la kwenda kwa mashehe hukulijibu mwana we? Je maswali yangu yamekusaidia? Kama yamekusaidia ni vipi? Kama hayakukusaidia, nini nifanye lau nikusaidie?
 
mkuu naomba unisamehe kama nimekukwaza ila nimefanya utafiti nimeona hivyo na ni mara zote.Sina nia yoyote mbaya nataka kufahamu tu..Kama una jibu nisaidie..
Sio kweli usemacho. Mbwa kama ni kubweka basi ni alfajiri. Sijawahi kuishi karib na msikiti, lakini my guess is mbwa anafeel kuna interferrence ya ukimya uliokuwepo. So anabweka kujihadhari na intrussion. I guess hata majogoo huwika.
 
Kwa haya uongeayo nahisi ndo kukosa maarifa kunakoongelewa kwenye biblia. Na mpu.mbavu akipotea hajistukii. Haya si maarifa hata kidogo aisee!
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!

Kifupi hakuna uhusiano wowote. Ni matukio tu yaligongana kwa muda yalipotokea. Fanyia utafiti wa kutosha ktk maeneo tofauti utapata matokeo bora zaidi.
Kuna mtu alidondoka karibu na kanisa huku kashikilia mb*o yake, baada ya kumuuliza alijibu kuwa kila akisikia mlio wa kengele wa kanisa hilo mb*o yake inasimama hadi inauma. Ingekuwa wewe ungetuletea uzi, "kuna uhusiano gani kengele ikilia, ny*ge zinapanda?" Kwa kurefer tukio hilo???
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!
Haya ni majibu kutoka kwa ma-Sheikh:

Praise be to Allah, the Lord of the Worlds; and may His blessings and peace be upon our Prophet Muhammad and upon all his Family and Companions. There are many wonders of Allah in His Creation. Dogs are among His Creatures. It is confirmed in a Hadith that dogs see what human beings cannot see. Abu Dawud reported in his Sunan that Jabir Ibn Abdullah narrated that the Prophet (Sallallahu Alaihi wa Sallam) said:" If you hear the barking of dogs and the braying of donkeys by night, seek refuge in Allah, as they see what you cannot see". Albani and others classified this Hadith as authentic. In Sahih Al Jamie', following the above Hadith is stated: ..'And reduce going out when it is quiet( when everybody is indoors at night time) as Allah diffuses by night what He wishes among His Creation, and lock your doors and mention the Name of Allah on them as Satan does not open a locked door on which the Name of Allah was mentioned.." So, if we contemplate the words of this Hadith along with the words of the Hadith reported by Al Bukhari and Muslim narrated by Abu Hurairah from the Prophet (Sallallahu Alaihi wa Sallam), it could be possible to interpret the barking of dogs at Fajr time because they see the Satans flee away passing wind. Satans do not flee away at fajr Azan only, but they flee away at every Azan, as stated in the Hadith. However, the barking of dogs at Fajr time is more noticeable than other times, as this time is usually quiet. This barking could also because of an ordinary reason as before Fajr there is usually no movement of people and it is quiet, but after Fajr there is a movement so dogs start to bark, because of the noise after the time of quietness. Moreover, the barking of dogs at the time of the Azan could be because of reasons other than what is mentioned. It is a matter of the Unseen on which one cannot be absolutely sure except if Allah informs us about it. Allah knows best.
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!

Ok ahsante sana kwa suali lako. Adhana ni wito kwa ajili ya wanaadamu au waislam waende msikitini kwenda kumuabudu Mola wetu. Sasa watu wabaya au waovu wengi wao huwa hawapendi mwito huu. Miongoni mwao ni Makafiri, Mashetani n.k. Inavyosemekana Mashetani wingi huwa wanaenda mbio wakati wa adhana sasa inawezekana mbwa wanawaona hao mashetani ndo mana wakabweka. Au inawezekana mbwa mwenyewe unamkera kumbuka katika wanyama najisi ni mbwa na nguruwe. Hata nyoka tumeambiwa tukimkuta ndani mwetu basi tupige adhana, kama ni nyoka wa kawaida basi atabaki ndani ya nyumba tutamuua, lakini kama ni nyoka wa nguvu za kiza atakimbia mwenyewe na sisi tutanusurika. Thats what I luv about Islam. kila kitu kina muongozo. Mungu anajua zaidi.
 
Mkuu hapa unamaanisha kwamba wakati wa adhana mapepo huwa nayo yanakimbia kwenda misikitini na mbwa wanayaona ndo maana wanabweka? Au?

hapo nikinyume chake. Uwe makini na hayo maneno wenyewe wasije wakayaona..!
 
Zamani tukiwa wadogo enzi zile za hadithi kando kando ya moto nyakati za usiku mama yangu alitusimulia kuwa mbwa huwa wanatoa mashtaka yao kwa taabu na adha wanazopatiwa na master wao kwa yule mtu aliyebeba kuni anayeonekana kwenye mbalamwezi. Mbwa huinua midomo yao juu na kumsimulia machungu yao. Hakuna ukweli juu ya uwiano wa kubweka mbwa alfajiri na adhana. Mbona mchana adhana inasikika na hawabweki. Naamini hadithi hii kuliko swali lako bwana mkubwa. Uhuru wa kuamini uko kichwani mwako!
 
mkuu mpaka mchana wanabweka wasikiapo adhana.
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!

Hata mimi ni shahidi wa hili.... Nyumbani kwetu kuna mbwa na kila ifikapo adhana ya asubuhi huwa anabweka mpaka adhana iishe.

Nyumba ya jirani ana mbwa zaidi ya wawili wao pia huwa nawasikia hasa adhana ya saa 1 na saa 2 usiku....
 
hakuna uhuhusiano wowote kisayansi bal hiyo ni mida ambayo watu wanajiandaa kwenda makazin na mashulen mbwa wanachachaw
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!

Jana nimepita mtaa mmoja nikiwa naendesha gari, daaah ! Mbwa wamelifukuzia gari huku wakibweka kishenzi !
 
Hata mimi ni shahidi wa hili.... Nyumbani kwetu kuna mbwa na kila ifikapo adhana ya asubuhi huwa anabweka mpaka adhana iishe.

Nyumba ya jirani ana mbwa zaidi ya wawili wao pia huwa nawasikia hasa adhana ya saa 1 na saa 2 usiku....

Huwa unaenda kuswali ?
Maana adhana si zaidi ya mwito wa kwenda kuswali !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…