Samahani naomba kuuliza jamani..

Samahani naomba kuuliza jamani..

mkuu naomba unisamehe kama nimekukwaza ila nimefanya utafiti nimeona hivyo na ni mara zote.Sina nia yoyote mbaya nataka kufahamu tu..Kama una jibu nisaidie..

Ukifahamu ina kusaidia nini ?!
Katika utafiti wako, huko kubweka kwao hao mbwa, kuliwazuia waislaam kuswali ? Unajua maana ya yale maneno ya adhana ?
 
maranyingi ni ile adhana ya alfajiri
Niliwahi kujibiwa hivi:- Nadhani mapepo na wachawi wanaonekana live wakikimbia na kutapatapa wasikiapo jina la mungu likitajwa, na ni wanyama pekee wenye uwezo huo wa kusikia na kuona.Hata wale wanaofanya kazi za kuchunga wanyama hasa maeneo ya makaburini hushuhudia na hushtushwa na vibweka vya wanyama kama mbuzi, ng'ombe, mbwa na kondoo kwenye maeneo hayo ya makaburini eti ni kwamba wanasikia na kushitushwa marehemu wakiadhibiwa kaburini.
Hizo ni imani ambazo sijawahi kusikia uthibitisho wake kiimani, kidini wala kisayansi.

Sisi wakati tunaenda kuswali, nyie mmbaki kupambana na mapepo ! Maana kazi hiyo mnaimudu sana. Mmeacha kuswali kazi yenu ni kupungana mapepo tuuu ! Toka.....sitoki....toka....sitoki....kwa jina lake tokaaaaa ! Zogo mtindop mmoja !
 
Hii kitu siyo jungu mkuu:

JINN ARE CREATED TO WORSHIP ALLAH
I only created jinn and man to worship Me. (Surat adh-Dhariyat, 56)

JINN ARE CREATED OUT OF FIRE
We created the jinn before out of the fire of a searing wind. (Surat al-Hijr, 27)

SURAT AL-JINN IN THE QUR'AN

Say, [O Muhammad], "It has been revealed to me that a group of the jinn listened and said, 'Indeed, we have heard an amazing Qur'an. It guides to the right course, and we have believed in it. And we will never associate with our Lord anyone.

Hawa wenzetu ni watu walio katika hasara ! Hawajui uwezo wa muumbaji mwenye uwezo wa kuumba kiumbe kwa moto ! Tena kiumbe hicho hakionekani !
Wanakubali uwepo wa majini lakini hawaogopo uwezo wa muumba majini, ni nani Mwenye uwezo kumshinda aliye umba viumbe visivyo onekana ! Allah SWT, anawaambia katika Qurkan "umbeni inzi kama nyinyi mnajua"
 
usijifanye hujui kuwa jamaa wanafuga majini, eti wanasema hata majini ni viumbe vya mnyazimungu wao!!
 
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!

Ki ukweli imani zetu (dini) hazina uhusiano mkubwa na sayansi, isipokuwa kwenye visa fulani fulani vya mbali. Na kama kawaida wanadini hujigamba kuwa sayansi imo ndani ya imani zao. Ndio maana wanaofuata saana imani za dini, au dini kuwa ndio katiba ya serikali kunakuwa hakuna maendeleo ya kisayansi, wanachukuwa/tumia tu mazao ya sayansi ila sio wao wanaopasua vichwa kugundua vitu hivyo, wagunduzi hawana imani sana za madini haya.
 
Kifupi hakuna uhusiano wowote. Ni matukio tu yaligongana kwa muda yalipotokea. Fanyia utafiti wa kutosha ktk maeneo tofauti utapata matokeo bora zaidi.
Kuna mtu alidondoka karibu na kanisa huku kashikilia mb*o yake, baada ya kumuuliza alijibu kuwa kila akisikia mlio wa kengele wa kanisa hilo mb*o yake inasimama hadi inauma. Ingekuwa wewe ungetuletea uzi, "kuna uhusiano gani kengele ikilia, ny*ge zinapanda?" Kwa kurefer tukio hilo???
dah.....i hope huu ni mfano tu
 
Nilichogundua ni kuwa wakristo wamewachoka waislamu na vita yao huja kwa mtindo wa post za ajabu kama hii.
 
Sio kweli usemacho. Mbwa
kama ni kubweka basi ni alfajiri. Sijawahi kuishi karib na msikiti,
lakini my guess is mbwa anafeel kuna interferrence ya ukimya uliokuwepo.
So anabweka kujihadhari na intrussion. I guess hata majogoo
huwika.

Mimi nina mbwa nyumbani kwangu na wala sija note hicho kitu. Labda nianze kufuatilia leo!
 
Lakini jogoo alipowika Petro ndoo akamsaliti YESU. Sasa sijui kipimo kilikua ni nini hasa.
 
Sisi wakati tunaenda kuswali, nyie mmbaki kupambana na mapepo ! Maana kazi hiyo mnaimudu sana. Mmeacha kuswali kazi yenu ni kupungana mapepo tuuu ! Toka.....sitoki....toka....sitoki....kwa jina lake tokaaaaa ! Zogo mtindop mmoja !
Dogs reduce good deeds of Muslims

Bukhari 3:515:
Narrated Abu Huraira: “Allah's Apostle said, "Whoever keeps a dog, one Qirat of the reward of his good deeds is deducted daily, unless the dog is used for guarding a farm or cattle." Abu Huraira (in another narration) said from the Prophet, "unless it is used for guarding sheep or farms, or for hunting." Narrated Abu Hazim from Abu Huraira: The Prophet said, "A dog for guarding cattle or for hunting."”
 
Adhana ni mara tano kwa siku, je ni zote inakuwa hivyo? Umeanzia mbali lakini huna nia njema. Ungeshangaa kwanini kwenu wote ni mashoga kuanzia babu yako? Ukipata jibu utujuze hapa.

mkuu naamin hata akina Kirango et al ni kaka zake manake ndio wafadhili wa miskiti mingi ya Z'bar na pia ndio waswali swala zote pamoja na hodari wa kutoa swadaka na kufanya Maulid.
 
Back
Top Bottom