Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
- Thread starter
-
- #61
barua kwa mh. kikwete unaweza kupost hapa
"naombamsamahamheshimiwakikwete.co.tz"
Zaidi ni vema ulivyojirudi
..acha uwoga wewe,hiyo ni nidhamu ya woga na unafiki tuu kama kawaida ya watanzania..kwa tabia hizi ndio mnaweza kupigana na mafisadi nyie kweli? yale yale jamani mzee wetu kastaafu mwacheni apumzike,B.S kwa kwenda mbele wanafiki watupu
Thanks Kitila,
Kazi ndio mbona imeanza, website imesharudi hewani ikiwa imeongezewa nguvu zaidi sasa na kama kawaida mwafrika wa kike is here to stay!
......
Now check this out, jana tumeahidi hapa forum kuwa in hours tutaweka picha za rais wetu akiwa kwenye compromise state, yaani akifanya mapenzi na wanawake ikiwa ni revenge kutokana na kuwekwa kwa thread inayomuhusu Mwenyekiti wa Chadema, since then sio hours tu zimepita hatujaziona hizo picha, sasa imeanza kuwa days, na sasa tumeanza mpaka kuombwa misamaha na maneno mengi matupu, picha hamna?
Rais Kikwete, aliahidi Mabillioni kwa wananchi, baada ya angalau mwaka yakatolewa,
Viongozi wetu ni sisi wenyewe, wananchi na hasa sisi kwenye hii forum!....![/B]
Huyo Kikwete sio mwanachama hapa JF ukitaka kumuomba msamaha mpigie simu, mtumie email, barua au njia nyingine ili apate huo "msamaha"
Halafu unaomba msamaha au unatoa kejeli? picha hakuna na unang'ang'ania unazo, kama unazo ushapewa rukhsa mwaga hapa...
Nilisema mapema Watson is right....
Aombaye msamaha husamehewa bwana, Kejeli iko wapi?
Ndo nyie mnataka wang'ang'anie kwenye mambo yasiyostahili kwa kusita kuomba msamaha.
Acha roho ngumu weye!
Gonga kichwa ukutani kama una hasira sana
Khaa! wewe mama Mbona hivyo?
Anyway kosa umefanya sasa sisi wana JF ndio tuna uamuzi wa kukadhibu au kukusamehe,kuwa mpole ukisubiri hukumu yetu.
Khaa! wewe mama Mbona hivyo?
Anyway kosa umefanya sasa sisi wana JF ndio tuna uamuzi wa kukadhibu au kukusamehe,kuwa mpole ukisubiri hukumu yetu.
Na wewe KM naona huna mpango hivi utakua lini? Jadili hoja zilizopo kama hauna hoja siutimke tu? gademu! Haya ciao jamani weekend njema!
Mwafrika wa Kike, du sista umelikoroga, yaani nikicheki comment zako zilizopita nachoka kabsaa....eti unaomba msamaha??!!NONSENSE 2PU.....and what is this thing with Mwanakiji, are you guyz trying to create your own scandal a.k.a boning each other?!!