Samahani kwa Kikwete na wana JF

Huu ndio Ushauri niliotoa ukapuuzwa na kuambiwa nina mawazo ya kitoto! Nenda page 16 ya majadiliano

 
Kumchafua Rais ni kuichafua Tanzania,tovuti siyo chumbani ni mahala peupe kwa walimwengu,itoshe tu kwa kukemea upuuzi huu miongoni mwetu na pia mh.Rais atawaliwe na subira ktk jambo hili.
Mungu ambariki ktk kila jambo alitendalo na sisi tuwe nyuma yake daima kwa uaminifu.
Amen
 
Kumchafua Rais ni kuichafua Tanzania,tovuti siyo chumbani ni mahala peupe kwa walimwengu,itoshe tu kwa kukemea upuuzi huu miongoni mwetu na pia mh.Rais atawaliwe na subira ktk jambo hili.
Mungu ambariki ktk kila jambo alitendalo na sisi tuwe nyuma yake daima kwa uaminifu.
Amen
 
Ndugu zangu,,, huu ulikuwa ujumbe wangu, ambao watu walinidhihaki ni kusema ni maneno ya kitoto

 
Sometimes you have to think, not only only twice, but several times before you decide to do what you think is viable.

Huu hapa chini ndio uliokuwa ushauri wangu kwa wahusika, nikadhihakiwa na kuambiwa mimi nina maneno ya kitoto angalia page 16 ya thread ile!
 

Slogan yako inapingana na uamuzi wako kwahiyo you have made history and that history may have many interpritation to the readers never ever give up easily like that au umebanwa na SO wake ikabidi u-give up.
 
"Well Behaved Women Never Make History"

Nawe umo katika hao Well Behaved Women?

Ukijibu swali hilo ndipo nitafikiria juu ya msamaha uliotuomba.
 
Achaneni nao, dawa ni kuwazomea tu kama wanavyozomewa viongozi mafisadi.

Akina Mwafrika na Mwanakijiji
Wamehishiwa Hoja wanatoa Vioja!
 
Achaneni nao, dawa ni kuwazomea tu kama wanavyozomewa viongozi mafisadi.Akina Mwafrika na Mwanakijiji
Wamehishiwa Hoja wanatoa Vioja!

FD unataka kutuambia Mwafrika wa K na Mwanakijiji ni wanamtandao?
 
Nahitaji majibu ili isije tena kesho akalipuka halafu tukashangaa.

Haiwezekani wanabodi wakapotezewa muda kwa ahadi za uongo, mashambulizi na kashfa kwa kiongozi wa nchi kisha kirahisi rahisi mtu anasema asemehewe.
 
Kaomba msamaha, msameheni kisha puuzieni postings zake! mnataka nini tena!?!
 
Lakini Ujumbe Umefika Mwanakijiji
 

Never said that either...
 

Habari za picha za Kikwete niliziweka hapa, so kinachofuata baada ya hapo kitawekwa hapa hapa. Kama hilo linakuuma inabidi umeze asprin kama mia mbili or so
 
That is great mwafrika wa kike, japokuwa wengine hatukuona hizi picha. I am so pleased with your words. Huo ndio utanzania, umeonyesha njia, Tuendelee na kazi, ile ya kutafakari!

Thanks Kitila,

Kazi ndio mbona imeanza, website imesharudi hewani ikiwa imeongezewa nguvu zaidi sasa na kama kawaida mwafrika wa kike is here to stay!
 
At least umepata courage ya kuomba msamaha kitu ambacho ni kigumu kwa wengi> By the way people, mlitaka afanyeje mnaozidi kumlaumu? maana kuna pande mbili wengine wanataka aweke na wengine asiweke. alipoamua kuanza kuweka kalaumiwa na even kukatazwa, alipoacha wengine pia wanasema hana lolote kawapotezea muda. kweli JF kiboko. kwa ufupi. mi naona alikuwa fair tu kwa kambi zote mbili hivyo mwacheni tu.
 
Habari za picha za Kikwete niliziweka hapa, so kinachofuata baada ya hapo kitawekwa hapa hapa. Kama hilo linakuuma inabidi umeze asprin kama mia mbili or so

Jamani Watanzania wenzangu,,, hili limeisha tuachane nalo,,, sasa masikio yetu na uchambuzi wetu uhamie DODOMA!!!

Mwafrika wa Kike,,, achana nao sasa, inatosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…