Samahani kwa Kikwete na wana JF

Sometimes you have to think, not only only twice, but several times before you decide to do what you think is viable.
 
..acha uwoga wewe,hiyo ni nidhamu ya woga na unafiki tuu kama kawaida ya watanzania..kwa tabia hizi ndio mnaweza kupigana na mafisadi nyie kweli? yale yale jamani mzee wetu kastaafu mwacheni apumzike,B.S kwa kwenda mbele wanafiki watupu
 
Huwa mara nyingi tunasema hapa kuwa viongozi wetu wa Tanzania ni reflection yetu sisi wananchi, kwa maneno mengine tunafanana nao kwa tabia mpaka matendo, So far hii forum inatusaidia kuona maneno tu, ninamuomba Mungu atupishilie mbali tusije ona matendo yetu,

Na hasa tukipewa uongozi, hivi ni kweli tutafanya tofauti na kina Karamagi?

Mungu Aibariki Hii Forum na sisi wananchi wake!
 
Mimi siwezi kukusamehe kwa sababu sikukutia hatiani hata kidogo. Anaye samehewa ni yule aliye kosea tu kama hajakosea ni vipi atasamehewa?

Kumwomba radhi MH Kikwete hiyo ni hiari yako hasa kama unahisi hizo picha si za kweli au zina walakini. Hata hivyo kama ni zina ukweli hata yeye atashindwa kukusamehe kwani mkosaji atakuwa ni yeye na si wewe.

Kama Rais angelipigwa picha ionyeshayo suruali yake ikidondoka hadharani kwa bahati mbaya, nawe ukaitawanya picha hiyo, kweli hata mimi ningekutia hatiani. Kwa sababu Rais hakupanga suruali yake ianguke ilikuwa ni bahati mbaya tu na halikuwa tendo lenye kusudio.

Ufuksa ni kashfa kubwa na si jambo la kuliweka kwenye kundi la mambo ya mtu binafsi.Kama mimi ndiye nifanyaye ufuksa au Rais wa nchi bado ni kashfa.

Kama Rais kavaa ya ndani huku kapigwa Sandwich na mademu Bomba katika mikao ya uchi uchi na mkewe hatumwoni katika ushirika huo mchafu hiyo ni kasheshe tosha.

Ufuska ni chanzo kikuu cha Rushwa kwa sababu historia inaonyesha mafuksa wote duniani wako tayari kuhonga chochote bila kujali gharama.
Mafuksa wamekwisha honga sehemu ya ufalme wao ili waendelee kupiga peda njia panda.

Mafuksa wako tayari kumwasi Mungu wanaye mwamini, kujivua uchungaji na hata uaskofu ili kukonga kiu za ufuksa wao.

Mafuksa wako tayari kuangamiza roho za wapendwa wao kujikana wao wenyewe na hata kujitoa uhai wao ili kuendeleza utaratibu wa tunda la ule mti.

Ufuksa wa Rais ni tatizo kama hatuliongelei leo tutaliongelea kesho, hili halijesha.
 
Kumwomba radhi MH Kikwete hiyo ni hiari yako hasa kama unahisi hizo picha si za kweli au zina walakini. Hata hivyo kama zina ukweli hata yeye atashindwa kukusamehe kwani mkosaji atakuwa ni yeye na si wewe.

Kama Rais angelipigwa picha ionyeshayo suruali yake ikidondoka hadharani kwa bahati mbaya, nawe ukaitawanya picha hiyo, kweli hata mimi ningekutia hatiani. Kwa sababu Rais hakupanga suruali yake idondoke ilikuwa ni bahati mbaya tu na halikuwa tendo lenye kusudio.

Kama Rais kapigwa picha kavaa ya ndani huku kapigwa Sandwich na mademu Bomba katika mikao ya uchi uchi na mkewe hatumwoni katika ushirika huo mchafu hiyo ni kasheshe tosha.

Mafuksa walisha wahi honga sehemu ya ufalme wao ili waendelee kupiga peda njia panda.

Viongozi wetu Tanzania, ni reflection yetu sisi wananchi wa Tanzania, na hasa sisi kwenye hii forum tumethibitisha wenyewe hayo jana na ile "thread", Viongozi wetu hutoa ahadi nyingi kwa wananchi wakati wa uchaguzi, na tumelipigia kelele sana hapa hilo, na kumlaumu Muungwana na ahadi zake kuwa ni za uongo,

Now check this out, jana tumeahidi hapa forum kuwa in hours tutaweka picha za rais wetu akiwa kwenye compromise state, yaani akifanya mapenzi na wanawake ikiwa ni revenge kutokana na kuwekwa kwa thread inayomuhusu Mwenyekiti wa Chadema, since then sio hours tu zimepita hatujaziona hizo picha, sasa imeanza kuwa days, na sasa tumeanza mpaka kuombwa misamaha na maneno mengi matupu, picha hamna?

Rais Kikwete, aliahidi Mabillioni kwa wananchi, baada ya angalau mwaka yakatolewa, ahadi zingine alisema zitachukua muda kuonekana au kufanyika, lakini angalau hakusema in hours,

Viongozi wetu ni sisi wenyewe, wananchi na hasa sisi kwenye hii forum!

Mungu Aibariki Hii Forum, Idumu na Wananchi Tuweze Kuendelea Kupambana na Vivuli Vyetu Wenyewe, Yaaani kujikoma wenyewe giladi!
 
Mzee FMES, tafadhali usiweke hayo maneno kwenye ahadi yangu. I NEVER SAID "Compromising positions" ina maana alikuwa akifanya mapenzi na wanawake. No sir, I never said that.. Compromising positions could be anything from fondling, inappropriate touch to taking a shirt... here is an example:

Huyo ni Askofu Ncube wa Bulawayo alipokuwa kwenye kona. Hiyo ni "compromising position" na ikabidi ajiuzulu.

Hivyo, sijasema mahali hata pamoja kuwa kuna picha ya JK inayomuonesha "akifanya mapenzi na wanawake"... Ila zipo picha zinazomuonesha katika anga mbaya.
 
Hamna cha kuomba msamaha hapa,sijaona kosa lolote,ufuska ni dhambi,tabia mbaya isiyovumilika katika jamii,hasa kwa wana ndoa.Hizo picha wengine hatujazipata,naomba mwenye nazo anitumie,mbona viongozi wengi tu,wakifanya matendo machafu mambo yao yanakua hadharani,litakua ni kosa kama hizo picha ni za uongo,lakini kama ni za ukweli,hakuna kosa.Yaani nyie rais mnamuona kama Mungu,asikosolewe kwa madhambi yake?
 
Hivyo, sijasema mahali hata pamoja kuwa kuna picha ya JK inayomuonesha "akifanya mapenzi na wanawake"... Ila zipo picha zinazomuonesha katika anga mbaya.

Mkuu MMJ,

Heshima mbele mkuu, ninakuheshimu sana, sio wewe uliyesema kuwa kama ni ngono basi utatuonyesha, sasa kumbe haikuwa ngono za rais ila ulisema anga mbaya, is that so?
 
Hivyo, sijasema mahali hata pamoja kuwa kuna picha ya JK inayomuonesha "akifanya mapenzi na wanawake"... Ila zipo picha zinazomuonesha katika anga mbaya.[/QUOTE]

Kwani tofauti ya anga mbaya na compromising position ni nini haswa? Walau kwa implication!
 
Mwafrika wa kike,

Nimekusamehe, ila kuna kosa moja hamjakiri hapo ndio naona UNAFIKI WENU, mimi ni muwazi sana ndio maana nilisimama OUT na kuwasema toka mwanzo.

KIRI huna PICHA zozote za kuonyesha Rais akiwa kwenye hali ya kimapenzi na ambazo hamjazipika.

Baada ya hapo Nitakuwa sina kinyogo na credibility yako nita i RESTORE kule kule kwenye kujibishana mambo yasiyo na maana na Kada Mpinzani na kujaza threads kwa upuuzi.

Asante
 
M.M_________________
waliposhindwa hoja, sasa huleta vioja!

Na kweli mmeleta KIOJA!!!
 
kwa upande wangu navutwa na pande mbili hapa.

moja ya kutaka picha za za wanaotenda ufuska ziwekwe hadharani ili liwe funzo kwa viongozi wengine. ufuska ni kitendo kibaya hasa kwa kiongozi ambae anapaswa awe msimamizi wa maadili ya raia wake. rais huyu alokuwa fuska atamwambia vipi mwanafunzi asifanye mapenzi na mwenziwe wakati ni katika kuiga mfano wa rais wake ??

kwa upande mwengine picha za rais kuwekwa hapa kimila na tamaduni na kibinadamu haipendezi.

kutokuwekwa picha za rais hapa, kusiwe ndio alama ya kujivunia viongozi wetu kuwa ufuska ni ruhsa kufanya katika jamii, kama itavyochukuliwa na wengi
 
We've highly overrated ourselves:
"JF where we dare talk openly eh?"
"tupo kwenye mapambano ya kifikra"
"tunamkoma nyani giladi"
"tunakata ishu" aaah wapi, hatuna tofauti na viongozi tunaowasema ila tu hatujapata vijibuzwagi vya kujichotea...
Nimesema yote haya kusema hivi: Hizo catch phrases tunazopenda kupigia mbiu humu ndani zingekuwa na maana kama tungejivua, double standards, unafiki na nidhamu za woga, otherwise tujiite "Ze JF comedy"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…