GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,699
- 109,135
Usanii hushereheshwa na huhitimishwa na wasanii wenyewe.Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?
Nawasilisha.
KAZI NA DAWA MKUU,AFU VITU VINGINE SIO VYA KUFUATILIA KIHIVYO...KUNA MENGI YA KUULIZA MBONA.
.Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?
Nawasilisha.
Zile mambo za kila kikao wanakula karanga na maji mkulu anaanza kusahau.
Taratibu analeta wasanii siku utasikia party kabisa.
lina maanaHivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?
Nawasilisha.
Sioni maana yoyote zaidi ya upotezaji wa muda na usumbufu.Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?
Nawasilisha.