Samahani kwa hili swali wanajamvi mliotukuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,887
2,000
Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?

Nawasilisha.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,689
2,000
Kazi na dawa mkuu,afu vitu vingine sio vya kufuatilia kihivyo...Kuna mengi ya kuuliza mbona.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,384
2,000
Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?

Nawasilisha.
Usanii hushereheshwa na huhitimishwa na wasanii wenyewe.
Pale wote ni wasanii.
(usimwambie mtu)
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,887
2,000
KAZI NA DAWA MKUU,AFU VITU VINGINE SIO VYA KUFUATILIA KIHIVYO...KUNA MENGI YA KUULIZA MBONA.
Ogopa sana ukiona GENTAMYCINE anahoji kitu / jambo humu JF. Yawezekana kwa labda kwa upeo wako wa nyasi za nyoka ( namaanisha mdogo ) unaweza usione mantiki yake ila nikuhakikishie tu kwamba nimeuliza swali la msingi mno ambalo pengine Wahusika wanaweza wakaliangalia na kulipima hadi kulifanyia Kazi. Yapo mengi sana ambayo huko nyuma nimewahi kuyaongelea tena ya kuhusu Watendaji wa hapo hapo Mjengoni na nashukuru Mungu baadhi yake nimeona yameweza kufanyiwa Kazi na yamerekebishika.

Uwepo wetu humu JF sisi Members wote ni sauti tosha na nzuri ya kuweza kuwashtua Wahusika na hatimaye hata kujitathmini na kujirekebisha accordingly yote hii ikiwa ni sehemu yetu ya Kizalendo kwa nchi yetu na Kiongozi wetu pasipo hata chembe ya Unafiki na kujifanya hatuhoji mambo ya msingi kwa Kigezo kuwa kila kitu kipo sawa.

Sikurupuki Mkuu na najua nafanya nini na kwanini nimeuleta makusudi huu uzi.
 
Galapagosi

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
2,824
2,000
Zile mambo za kila kikao wanakula karanga na maji mkulu anaanza kusahau.
Taratibu analeta wasanii siku utasikia party kabisa.
 
Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,019
2,000
Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?

Nawasilisha.
.
Ilikua ni kawaida mfalme Sauli kutulizwa na kinanda mapepo yanapompanda.
 
The Chosen One

JF-Expert Member
May 24, 2017
3,584
2,000
Maigizo yatakosaje mziki ndani yake Acha muvi liendelee mkichoka kusoma za kirumi anzeni na za kigiriki
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
92,606
2,000
Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?

Nawasilisha.
lina maana
ndio uzalendo wenyewe
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
16,601
2,000
Hivi hizi Bendi ( Brass Band ) au hawa Wasanii kuitwa kutumbuiza IKULU kila ponapokuwa na jambo / tukio muhimu na la muda mfupi huwa lina tija au mantiki yoyote? Kuna ulazima wowote wa kuwepo kwa Brass Band au Wasanii IKULU hasa katika matukio ya muda mfupi na yenye Unyeti wake mkubwa kwa Umma?

Nawasilisha.
Sioni maana yoyote zaidi ya upotezaji wa muda na usumbufu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom