Samahani kwa hili swali wanajamvi mliotukuka

Samahani kwa hili swali wanajamvi mliotukuka

Kuhamasisha uzalendo kwa maana wameimba nyimbo ya uzalendo
 
Halafu sauti ilikuwa mbaya hata sijasikia vizuri walikuwa wanaimba nini au labda kwa vile natizama kupitia TBC.
 
kwa upande mmoja - Wanaandaliwa kutumbuiza na kuhamasisha 2020.
kwa upande wa pili - Sauli alimuweka Daudi ikulu yake awe anatumbuiza kukimbiza pepo wabaya waliokuwa wanamsumbua.
 
Mkuu hiyo haina maana yyt lkn sema kwa kuwa dhima moja wapo ya mziki ni kuburidisha ndo maana wanawaweka
 
Back
Top Bottom