Siamini kama hata yeye alikuwa anajua kuwa ana harufu hiyo, Maana asingetoka
Sawa dada mshauriUzi umekaa kistory story ila kuna wengine ni ugonjwa halafu kwenda hospital wanaona aibu matokeo yake ni kujiongezea stress na aibu zaidi mbele za watu.
Nilishakumbana nao wengi wa hivyo tatizo ukijaribu kumwambia tu ugomvi unaanzia hapo,hata kama atauchukua ushauri kimya kimya ila atabaki anakuchukia milele maana hana ubavu wa kujishusha na kukushukuru kumpa njia ya kupona tatizo
Mmmh!!! Bora kibamia kuliko papuchi kunuka buana!!! Kibamia si lazima kila mtu ajue sasa papuchi kunuka ukikaa vibaya tu hewa ikipita maeneo hayo wa pembeni wote wanapata kiharufuNgoma droo....
MEN-VIBAMIA
WOMEN-PAPUCHI KUNUKA..
Hapo sasa
[emoji53][emoji23]Io harufu too much tn mpk mwanaume amekufa hahaha labda ilikua inacontain na chembechembe za sumu
Ukute alizama chumvini!!! Harufu inaweza muua mtu jamani!?[emoji53][emoji23]Io harufu too much tn mpk mwanaume amekufa hahaha labda ilikua inacontain na chembechembe za sumu
hujawahi kuzamiwa uvinza yako?Ila kuna watu wananuka asee, mtu akipita utadhani limepita gari la taka.....
Sijui chumvini watu wanazama vipi
Sawa dokta [emoji23]Uzi umekaa kistory story ila kuna wengine ni ugonjwa halafu kwenda hospital wanaona aibu matokeo yake ni kujiongezea stress na aibu zaidi mbele za watu.
Nilishakumbana nao wengi wa hivyo tatizo ukijaribu kumwambia tu ugomvi unaanzia hapo,hata kama atauchukua ushauri kimya kimya ila atabaki anakuchukia milele maana hana ubavu wa kujishusha na kukushukuru kumpa njia ya kupona tatizo