[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???
Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
No story tu mkuu, don't take it seriously!!!Aisee mkuu una ujasiri wa ajabu, katika vitu ambavyo siwezi fanya ni kumwuliza mwanamke hilo swali.
Kumbe wanawake nao huwa wananuka miguu na viatu???Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???
Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
WapoooKumbe wanawake nao huwa wananuka miguu na viatu???
Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???
Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
Yes brother hakika thats the truth. Naamini kuna watu hili tatizo wanalo lakini kuliweka wazi wanaogopa, so wanakuwa nalo tu.Uzi umekaa kistory story ila kuna wengine ni ugonjwa halafu kwenda hospital wanaona aibu matokeo yake ni kujiongezea stress na aibu zaidi mbele za watu.
Nilishakumbana nao wengi wa hivyo tatizo ukijaribu kumwambia tu ugomvi unaanzia hapo,hata kama atauchukua ushauri kimya kimya ila atabaki anakuchukia milele maana hana ubavu wa kujishusha na kukushukuru kumpa njia ya kupona tatizo
Naamini ingekuwa ni nguo au viatu angenijibu tu, but hakujibu kabisa zaidi ya kuguna tu. So ilibidi nipotezee kwa kuanzisha story nyingine.Harufu ya **** umeisikiaje alivyoingia?
Aliweka miguu kwenye dashboard???
Labda ni nguo zna harufu ya uvundo, si unajua mvua cku hz nguo hazikauki vzuri. .
Au viatu
Wapooo
Hujawahi kukutana nao eenh
Yes brother hakika thats the truth. Naamini kuna watu hili tatizo wanalo lakini kuliweka wazi wanaogopa, so wanakuwa nalo tu.