davisngosha
Member
- Apr 22, 2013
- 21
- 2
Sir name yake ni maduhuAnaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
Tumwombee kuhusu afya yake!
Sir name yake ni maduhu
Naomba kuuliza je huyu Samadu Hassani ana undugu na yule Marena Hassan wa TBC??
Naomba kuuliza je huyu Samadu Hassani ana undugu na yule Marena Hassan wa TBC??
Mkuu, kuanzia mbali si hoja kwani hata mheshimiwa Juma Nkamia kaanzia mbali. Hapa sifa moja ya huyu mzee ni kujituma na kuelewa nini anachokifanya kwa nani anayempelekea. Hebu sikiliza tangazo lao la king'amuzi anavofafanua utapenda na hii niliisha itupia humu JF.Samadu Hassan huyu ni mkongwe kwenye
fani ya Utangazaji pia ameanza mbali sana
tangu RTD,Redio One,DW Swahili,RFA.
Ni hazina hii japo utashangaa sana vichwa
hivi havithaminiwi hapa nyumbani kama
ulivyoona kwa Dastan Tido Mhando.
Mzee Samadu yupo sawa sana, siyo akina Mukhsin Mambo, Benard James, Hemed Kivuyo, Salum Mkambala etc.
Samadu Hassan ni level nyingine.
Mzee Samadu yupo sawa sana, siyo akina Mukhsin Mambo, Benard James, Hemed Kivuyo, Salum Mkambala etc.
Samadu Hassan ni level nyingine.
Hivi Chanel 10 hawana ethics za kazi? Leo katika taarifa ya habari saa mbili asubuhi, alikuwa anaonyesha bangili sijui ya dhahabu ile au vipi! Overdressing siyo ishu, jaribuni kuwafikiria na walaji, badala ya kwenda kusoma news, mtangazaji anafikiria atakavyoenda kuosha kwenye screen.