Sam misango anaendesha friday night live kwa kukurupuka

Na wewe muombe akualike uwashike viuno hao mademu...... Kwani channel ni hiyo moja tuu
 
Nadhani muda na aina ya kipindi ndio kinahitaji mambo kama hayo kama hupendi kaa pembeni
 
Naona kimefika cha tatu na mimi nasema hatutavifumbia macho kwa kweli.Nchi ngumu hii.
 
Na sirini pia analalaga now probably, ukilijua hilo nadhani ndio utapasuka kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom