Sam Mahela

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Habar za asubuhi wana JF,

Nahitaji kuwasiliana na huyu kaka juu ya jambo fulani,kama yupo humu bas aniPm.

Mungu awabariki sana.
 
Nina mashaka na watu watakaoku-pm maana huenda wakajifanya wao ndo huyo muhusika ili uwaeleze jambo lako.

Kama ni jambo la wazi limwage hapa ila kama ni siri pia kua mwangalifu ili usije kujikuta unamwaga habari kwa Sam asiye Sam.
 
Teh teh teh ni kweli mkuu ila sintaongea nao kwa Pm.Jaman Sam mahela nakutafuta sana kwa siku ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Kulikoni ndugu...
Mimi nina namba yake ya simu lakini ili nikupatie inabidi nijiridhishe na tatizo ulilonalo...

Habar za asubuhi wana JF.....,nahitaji kuwasiliana na huyu kaka juu ya jambo fulani,kama yupo humu bas aniPm.
Mungu awabariki sana.
 
Poleee, nenda ITV utampata

But lara 1 alikuambia, pima kina cha maji kwa kijiti, we will not be there to help zaidi ya sredini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom