squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,190
Sijawahi ona manguli wa kuripoti habari wakifa ya huu ujinga.mimi naipenda sana hiyo staili na ninakubali jinsi anavyoongea kwa vitendo.
ngojea nione watu ambao huwa wanadai hawaangalii tbc watakavyoponda
Ndio mkuu.
Mabavicha yataponda eti tu kwa sababu jamaa kaamua kujiunga na televisheni yetu pendwa ya taifa.
Kwa niaba ya watoto hasa huyo wa miaka mitatu (3)
Hakikisha unao.
Ila tumia muda, mtangulize mungu akuongoze, akupatie mke sahihi.
Pole sana kwa kuondokewa na mke wako.
Fikiria pa kwenda kumwaga mkuu..au unasubiri kila kitu serikali ifikiri badala yako...hyo mitaro inachimbwa na malaika? Ndio maana makonda amewaletea mgambo, baada ya kuona hamtaki kufikiria..
Nb: hatuwezi kuishi na watu wanaoendekeza uchafu bora mpigwe tu na faini mtatoa tu.
Duh mnaambiwaga mtulizage mishono yenu hamsikii
Tatizo ana miwani za fundi welding
[QUOTE="toxic9, post: 28348238, member: 109ShabaniiihiKama taarifa, iliyotolewa ni sahihi na mashaka yako kama yapo upande Wa walinzi kutochukua hatua mapema mpaka mhalifu anashuka juu ya ukuta! Huku wanajeshi wetu wakiwa wamemuona lkn wamezembea mpaka kashuka chini!.
Uzembe huu, ungeweza kuwa na madhara makubwa saana. Kwa jamii kila MTU anajua mhalifu anayevamia maeneo ya ulinzi Wa umma lengo lake ni nini?
Kama, unafikiri hatua aliyochukuliwa mhalifu huyu hakustahili ,hatua IPI iliyomfaa?
Unamaanisha nini mkuu..toa taarifa iliyokamilika kaka..
Mpunga mrefu, job security. Unachefuka bure, ni maisha yake na chaguo ni lake. Hafanyi kazi kwa ajili ya wengine bali yeye na familia yake. Serikalini kaona kunalipa.amenicheufua htr!alaf limezidisha misifa hatar
Kumbe ndio maana cjuona itv pia cjatazama tbs kwa mda sana labda kwa kuwa yupo yuho mwanetu itabidi niangialie kwa ajili yake maana wana boa sana hawa tbc
Lazima aende huko kila mwanahabar anatamani na nindoto zao kufanya kazi tv au chombo cha taifa sivi yao hupanda kwa kufanya Kazi chombo cha taifa.Mpunga mrefu, job security. Unachefuka bure, ni maisha yake na chaguo ni lake. Hafanyi kazi kwa ajili ya wengine bali yeye na familia yake. Serikalini kaona kunalipa.
Unampangia na career yake? Wewe nani alikupangia uwe hapo ulipo, na ulipohama nani alikupangia?amenicheufua htr!alaf limezidisha misifa hatar
wapi nimesema nimempangia kiongozi?acha kuhemkwa basiUnampangia na career yake? Wewe nani alikupangia uwe hapo ulipo, na ulipohama nani alikupangia?
Acheni watu wafanye kazi, wao ndio wanajua ugumu/urahisi wa sehemu wanazifanyia kazi.
Wewe si umechefukwa alivyohamia TBC? Kwanza jinsia ya kiumeni haichefukwi kiongozi.wapi nimesema nimempangia kiongozi?acha kuhemkwa basi