muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,099
- 1,056
Pamoja na hilo lakini kuna malengo yametegwa hapa..Inasemekana ajira za serikali zina security ya kazi. Labda kaona bora aende kupata huo usalama.
Sio inasemekana,huo ndio ukweliInasemekana ajira za serikali zina security ya kazi. Labda kaona bora aende kupata huo usalama.
Usalama ni moja ya malengo bossPamoja na hilo lakini kuna malengo yametegwa hapa..