jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,772
- 1,614
Mkuu wewe hujamuelewa huyo bar maid, huo ni mgawanyo wa majukumu, wewe saloon, mwingine kodi, unaweza kuta kwa mwezi ana serve zaidi ya hiyo 150k, ni watu wa mipango sana.Sina tatizo na huyo anayetumia laki saba kununua brazilian hair kama kipato chake au cha mume wake au familia yake kinafikia huko. Nina tatizo na huyu mwenye mshahara wa laki na nusu.
Binti baa medi analipwa laki na hamsini kwa mwezi, anathubutu kuniomba elfu hamsini, sio kulipia kodi ya nyumba au kumsaidia mdogo wake ada bali akatengeneze nywele. Shenzi nimemuacha kuanzia leo, hajui vipaumbele vyake.
domino effect haujaona kua nywele/mwonekano kwake ni mtaji wa kupata bwana mwingine na hela nyingine. uyu dada ana akili sana. kuliko achukue 50,000 akale, yeye anaweka mtaji ili apate hela nyingine. genious material.
Unafanyia Bar gani nije nikuungishe?Hahahahaha ulitaka bure? Kamuombe dadako atakupa bure
Kampe tu hela kama ipo usimbanie sana manake wewe unachotaka hapo ni mgegedo, na ukiweza kumpa nadhani utaenjoy zaidi. Inawezekana km alivyosema mwenzangu hiyo 50 haiendi yote salon labda kuna mambo mengine muhimu ataifanyia ila tu kakosea namna ya kukupiga huo mzinga, ebu tu uone.Dada Farasi mweupe umejibu ki professional zaidi. Nitafikiria upya uamuzi wangu wa kukimbia mbio ndefu.
Kampe tu hela kama ipo usimbanie sana manake wewe unachotaka hapo ni mgegedo, na ukiweza kumpa nadhani utaenjoy zaidi. Inawezekana km alivyosema mwenzangu hiyo 50 haiendi yote salon labda kuna mambo mengine muhimu ataifanyia ila tu kakosea namna ya kukupiga huo mzinga, ebu tu uone.
Tupo pamoja kwenye mada zote comrade, si hii tu.Umeongea kwa busara sana, na kwenye masuala ya elimu na afya uwe unatoa ushauri wenye mashiko hivi sawa?
Mpaka atakapo acha kuomba helaMabutu ndio mtindo ninaoumudu zaidi.
Am ndo tumetokea kule, pamefurika.Huku PM saa kumejaa, hebu nendeni hata AM.
Mimi ninashindwa kuelewa hapa unamkuta mtu anafanya kazi mshahara Tsh. 350,000 kwa mwezi lakini ana usafiri Suzuki four wheel drive, handbag ya LV au Gucci ya 1.2 mil, amesuka lace wig 300,000 tena yuko single.
Jioni nitampa, wadau wengi wenye uzoefu wanasema inawezekana kuwa na matumizi mengine ambayo asingeweza kuniambia. Kwa majaribio nitampa hii halafu nitaangalia matumizi yake.Am ndo tumetokea kule, pamefurika.
Vp umeamua kumpa baa medi ile cash!
Hahaha dah hii kali sasa maana mmmmmmjun255 hakuna sehemu nimesema bure, ninaweza kukununua wewe na mama yako mzazi hata kwa milioni kumi ila kwa mtu anayefanya kazi ya mshahara wa laki na nusu, sioni kama anatakiwa kutumia elfu hamsini kutengeneza nywele. BTW wewe na mama yako mnaweza kudai shilingi ngapi?