Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

HAKUNA udini, Mwinyi , Kikwete na Samia hawaonekani kutaja jina la Mungu wala makamera msikitini ila wametenda haki nchi hii na kila mtu anawapongeza.
SAMIA kaanza juzi tu ila angalia alivyo mtu wa haki mbele za Mungu.
Basi sawa.waislamu wote mtaenda peponi.dini yenu nzuri sana ukiwa muislamu tu pepo inakuhusu.
 
Ukachero sio mpaka uzame field mwenyewe. Ukachero unaenda mbali zaidi ya hapo. Yaani hata ukiwachorea ramani vijana wanaoenda field na wakatumia ramani hiyo kuleta ushindi wewe ni kachero hatari.

Kumbuka hata huko field vijana watakuwa wanaleta mrejesho na kusubiri tamko lako ikiwa waendelee au wafanye nini kulingana na waliyoyakuta huko.

hamna kitu hapo, acheni porojo vijana.
kachero wa kukaa ofisini akisubiri aletewe report zilizokusanywa na watu wengine huyo nae mnamuita kachero hatari?. masihara hayo.
 
mama amebalansi, mi naona ateue waislm wengi wasiopenda dhulma si hawa wenzetu wanajifanya kumtaja Mungu na makamera kanisani kama mafarisayo na masaduukayo huku mioyo yao ikimkirishetani kwa vitendo.
naona umekomaa na udini tu,fikra duni ni mbegu za chuki.
wacha ujinga.
tuake kutojadili uwezi wa watu ila dini zao sasa!!!
 
hamna kitu hapo, acheni porojo vijana.
kachero wa kukaa ofisini akisubiri aletewe report zilizokusanywa na watu wengine huyo nae mnamuita kachero hatari?. masihara hayo.
kwahiyo makachero wote wanashinda vichakani!!!!
unadhani mpaka watu wanapewa uongozi wa makachero walikuwa ofisini toka wanazaliwa!!!!

report anzopokea mtu mezani kwake,mahesabu anayopiga na maamuzi anayotoa ndio zao la utatuzi wa changamoto field.
 
Basi kama ni hivyo hata wewe hapo ulipo ni kachero hatari.
 
Back
Top Bottom