Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

Sio kweli mzee.

Kwenye jeshi kuna mtu ambae mna cheo kimoja lakini yeye katangulia kupata cheo hiko,mtu huyu utaanza wewe kumsalimia kwa sababu huko majeshini mdogo ndo huanza kusalimia na mkubwa kazi yake kuitikia.

Kwa hiiyo mzee hamduni atakuwa amewakuta watu wengi tu ambao wamemtangulia kicheo jambo ambalo litamfanya yeye aanze kuwapigia saluti wao.

Mfano yule naibu wa IGP akikutana nae atadondoka salute tu na ishu ikawa kama hivyo yaani.

Wataalamu wenyewe wa majeshi watanisahihisha kama nimekosea
Uko sahihi mkuu kama mnafanana vyeo Seniority itangalia nani kaanza kupata cheo
 
Si kweli hata hao makamishna wengine wanateuliwa na Rais

DG wa TISS Diwani Athuman pia ni kamishna wa Polisi siku akikutana na Musa yule kamishna aliyekuwa kamishna wa Polisi Zanzibar Diwani atabana mikono (atapiga saluti) Kamishna Mussa ndiye kamishna mkongwe wa Polisi.
CP Mussa yule jamaa alizingua Zanzibar wakaamua kumpa upolisi jamii.

Kweli jamaaa mkongwe maana hawa kina Sirro, Sabasi etc wanapewa Ukamishna CP Mussa ni Kamishna tayari

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwao Nzega TABORA.Yeye na ALI HAPI wametoka kitaa kimoja pale Nzega-Tabora.
Hapi ni mrangi sio mnyamwezi. Kina Hamduni ni wanyamwezi waarabu wa urambo. Ndo watu wa mwanzo kumiliki mabasi yalikuwa yanaitwa HAMDUNI, yanatoka Tabora- Usoke- Urambo, miaka hiyo ya 80's.
 
Sasa kusema alikuwa akihudumu interpol nayo iwe siri! Au unahofia usalama kisa yale mamilioni wanayopata polisi wetu kule?
Zipo siri nyingi sana polisi ambazo wanazo hutozisikia mpaka unakufa.
Siri za kushirikiana na majambazi
 
Huyo namkumbuka kipindi cha kesi ya Chadema wakiwa Mahamakani aliitwa kama Shahidi wa Serikali,Lissu na Kibatara walimpiga maswali mpaka akashindwa kujibu lolote. Kuna Uzi wake humu mwenye nao naomba aupandishe.
Yea nakumbuka.aisee....

Ila alikuwa hajibu kitu asichokuwa na hakika..... Ana roho wa mungu nadhani
 
Hapi ni mrangi sio mnyamwezi. Kina Hamduni ni wanyamwezi waarabu wa urambo. Ndo watu wa mwanzo kumiliki mabasi yalikuwa yanaitwa HAMDUNI, yanatoka Tabora- Usoke- Urambo, miaka hiyo ya 80's.
Nafahmu ilo Hapi ni mrangi ila amezaliwa na kukulia Nzega,baba yake alikuwa coplo wa polisi pale Nzega-police station na mama yake pia yupo Nzega mpaka huu hivyo jamaa ni mkazi wa NZEGA.HAMDUNI pia mama yake yupo pale NZEGA.Hao mi wakaazi wa Nzega.
 
Nafahmu ilo Hapi ni mrangi ila amezaliwa na kukulia Nzega,baba yake alikuwa coplo wa polisi pale Nzega-police station na mama yake pi yupo Nzega mpaka huu hivyo jamaa ni mkazi wa NZEGA.HAMDUNI pia mama yake yupo pale NZEGA.Hao mi wakaazi wa Nzega.
Okay..
 
Mama ameshasema anaangalia watenda kazi,huyo afande utendaji wake una mvuto na wa kutukuka,teuzi za awamu ya sita unajisemea moyoni kweli aliyechaguliwa anastahili,Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom