Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

Huwezi kuwajua nani na nani wote ni mabrigedia na nani na nani wote na mameja jenerali na nani na nani wote ni makanali labda uwe unafanya kazi MMJ

Juzi tu hapo wakati Mbuge anapandishwa kuwa mej jen kuna mabrigedia kibao na meja jenerali wamepandishwa kwa usiri ,,,kuna batch kubwa ya majenerali imestaafu mwaka jana ilikuwa siri labda mtu awe mhusika wa familia ndio kujua nani na nani walistaafu
mkuu, wewe unazingua sana, watu wanajitahidi kukuelewesha ila hutaki kuelewa, kwa kifupi vyeo vya jeshi sio siri wewe ukiona mabeyo alipandishwa cheo hiyo 2015 yako alafu haikutangazwa ni kwa sababu haikuwa na umuhimu kutangazwa
wanajeshi magari yao yana vyeo na ma brigedia wanajulikana ni wewe tu huwajui ila watu wengi hata humu wamo wanawajua, unasemaje vyeo vya jeshi ni siri wakati gari za wanajeshi wenye vyeo vya juu jwtz na police vimewekwa vyeo hivo ?
kama ingekuwa vyeo hivyo ni siri basi wasingekuwa wanajitambulisha, siri za jeshi ni mfano hizi hapa 1.idadi ya askari mkoa fulani
2. silaha zilizopo jeshini 3.operation zinazofanywa na jeshi nk
 
Nafahmu ilo Hapi ni mrangi ila amezaliwa na kukulia Nzega,baba yake alikuwa coplo wa polisi pale Nzega-police station na mama yake pia yupo Nzega mpaka huu hivyo jamaa ni mkazi wa NZEGA.HAMDUNI pia mama yake yupo pale NZEGA.Hao mi wakaazi wa Nzega.
ndio maana kina roho ngumu
 
mkuu, wewe unazingua sana, watu wanajitahidi kukuelewesha ila hutaki kuelewa, kwa kifupi vyeo vya jeshi sio siri wewe ukiona mabeyo alipandishwa cheo hiyo 2015 yako alafu haikutangazwa ni kwa sababu haikuwa na umuhimu kutangazwa
wanajeshi magari yao yana vyeo na ma brigedia wanajulikana ni wewe tu huwajui ila watu wengi hata humu wamo wanawajua, unasemaje vyeo vya jeshi ni siri wakati gari za wanajeshi wenye vyeo vya juu jwtz na police vimewekwa vyeo hivo ?
kama ingekuwa vyeo hivyo ni siri basi wasingekuwa wanajitambulisha, siri za jeshi ni mfano hizi hapa 1.idadi ya askari mkoa fulani
2. silaha zilizopo jeshini 3.operation zinazofanywa na jeshi nk
nilitaka nimwandikie,lakini huenda angeanza akuwauliza wenzake humo kambini,maana anaonekana ana nia mbaya huyu.

ndio hawa wanaodhani mbuge kashushwa cheo,kumbe katolewa barrier ya kuzungumza na rais.

mambo mengine yanataka utulivu sana kuyaelewa.
 
hamna kitu hapo, acheni porojo vijana.
kachero wa kukaa ofisini akisubiri aletewe report zilizokusanywa na watu wengine huyo nae mnamuita kachero hatari?. masihara hayo.
Unadhani alipata promotion kutoka kwenye sufuria la pilau? Alihusika kupeleka hizo unazoziita taarifa kwa wakubwa zake moaka na yeye alipokuwa mkubwa.
 
mkuu, wewe unazingua sana, watu wanajitahidi kukuelewesha ila hutaki kuelewa, kwa kifupi vyeo vya jeshi sio siri wewe ukiona mabeyo alipandishwa cheo hiyo 2015 yako alafu haikutangazwa ni kwa sababu haikuwa na umuhimu kutangazwa
wanajeshi magari yao yana vyeo na ma brigedia wanajulikana ni wewe tu huwajui ila watu wengi hata humu wamo wanawajua, unasemaje vyeo vya jeshi ni siri wakati gari za wanajeshi wenye vyeo vya juu jwtz na police vimewekwa vyeo hivo ?
kama ingekuwa vyeo hivyo ni siri basi wasingekuwa wanajitambulisha, siri za jeshi ni mfano hizi hapa 1.idadi ya askari mkoa fulani
2. silaha zilizopo jeshini 3.operation zinazofanywa na jeshi nk

Aisee ! Huwezi kuwajua wote labda uwe unafanya kazi MMJ! Ushahidi upo mwingi ,anzia JJ Mbung'o kwenda Umeja jenerali umetaarifiwa na nani? , Sheikh Shariff Othman alivyopanda umeja jenerali umetaarifiwa na nani? , Haya Mej jen Busungu na mameja jenerali kadhaa wamestaafu mwaka jana nani humu anajua ukiachana na waliopo makambini na jeshini?

Na jeshi lilifanya makusudi hata picha za waliostaafu na Ltgen P.P Masao katika ile hafla ya kuwaaga kama unaweza ipata

Na nilichomaanisha sio kwamba vyeo hivyo ni siri kama Usalama wa taifa hapana nilichomaanisha kama haupo MMJ au mazingira ambayo utawajua huji wajua mabrigedia jenerali wote mmoja mmoja hadi mwingine ,,,wengine wanapanda hata waliopo uraiani wanajua ila kuna wengine upandaji wao ni habari ya ndani ya jeshi
 
Acha ujuaji mzee wa kazi.

Polisi kuna watu maalumu hawatakiwi kujulikana,lakini wapo wengine kama wapepelezi,f.f.u polsisi wa kituoni hawa wanajulikana kwa sababu wanafanya kazi za moja kwa moja za kipolisi.

Usalama hivyo hivyo kuna watu maalumu ambao hawatakiwi kujulikana,lakini wapo watu ambao wanajulikana mfano kuna usalama ukienda kwenye nyumba za viongozi utawakuta,usalama wanaowalinda viongozi wapo wale wanafanya kazi za usalama za kila siku hivyo lazima wajulikane.

Jwshini hali kadhalika nadhani wapo watu wa aina hiyo.

Kwa hiyo ni uongo tu kwamba maofisa wa jeshi wakipanda vyeo ni siri,hakuna siri yeyote ile labda uwe kwenye vitengo maalumu.

Na ukiwa vitengo maalumu siri itakuwa ni kazi unayofanya na sio cheo unachopanda.

Around wiki kama mbili nyuma kuna majenerali wamepanda vyeo sema ni wapi hao taja japo watatu ,,,nilichokuwa nasimamia mimi ni kuwa upandaji wa vyeo sometimes hazitolewi taarifa wazi kuwa nani kapanda na sometimes zinatolewa taarifa nani kapanda na jeshi linafanya hivyo kwa makusudi
 
Wewe umejuaje kama wamepanda ?

Alafu mkuu kumbe nimegundua unachanganya maana ya neno siri.

Kuna mambo hayana umuhimu kufahamika kwa watu wote.

Kutokutangazwa kuoanda cheo cha fulani haina maana kuwa hiyo ni siri.
 
Aisee ! Huwezi kuwajua wote labda uwe unafanya kazi MMJ! Ushahidi upo mwingi ,anzia JJ Mbung'o kwenda Umeja jenerali umetaarifiwa na nani? , Sheikh Shariff Othman alivyopanda umeja jenerali umetaarifiwa na nani? , Haya Mej jen Busungu na mameja jenerali kadhaa wamestaafu mwaka jana nani humu anajua ukiachana na waliopo makambini na jeshini?

Na jeshi lilifanya makusudi hata picha za waliostaafu na Ltgen P.P Masao katika ile hafla ya kuwaaga kama unaweza ipata

Na nilichomaanisha sio kwamba vyeo hivyo ni siri kama Usalama wa taifa hapana nilichomaanisha kama haupo MMJ au mazingira ambayo utawajua huji wajua mabrigedia jenerali wote mmoja mmoja hadi mwingine ,,,wengine wanapanda hata waliopo uraiani wanajua ila kuna wengine upandaji wao ni habari ya ndani ya jeshi
Sasa hiyo ni siri au ni just umma tu haukujulishwa?maana ingekuwa siri hata wewe raia usingejua
 
Mama ameshasema anaangalia watenda kazi,huyo afande utendaji wake una mvuto na wa kutukuka,teuzi za awamu ya sita unajisemea moyoni kweli aliyechaguliwa anastahili,Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kazi iendelee.
Asimsahau Propesa Lipumba
 
Labda mama ameona hapo katikati wamejaa wagalatia tupu lakini yeye alihitaji mtu kutoka upande ule mwingine kwa hiyo akaamua kumrukisha madaraja.
 
nilitaka nimwandikie,lakini huenda angeanza akuwauliza wenzake humo kambini,maana anaonekana ana nia mbaya huyu.

ndio hawa wanaodhani mbuge kashushwa cheo,kumbe katolewa barrier ya kuzungumza na rais.

mambo mengine yanataka utulivu sana kuyaelewa.
Acha dharau wewe mzee sio kila mnaebishana nae humu jf mnajua wapo kambini humu wengi ni vijana wa mujibu wanawahenyesha
 
Wewe umejuaje kama wamepanda ?

Alafu mkuu kumbe nimegundua unachanganya maana ya neno siri.

Kuna mambo hayana umuhimu kufahamika kwa watu wote.

Kutokutangazwa kuoanda cheo cha fulani haina maana kuwa hiyo ni siri.
Sasa wewe hujui hata katika kuwahifadhi maafisa wenye kamisheni kuanzia vyeo fulani(ambavyo sikutajii) jeshi hufanya vitu gani ,,,,,na hapo nime"prove" point yangu kuwa upandaji wa vyeo hautajua siku zote labda ambavyo jeshi limetaka umma kujua fulani na fulani wamepanda kutoka ukanali kwenda U"brig gen" na kadhalika na pia ambapo jeshi limetaka umma usijue nani na nani wamepandishwa katika ngazi gani
 
Hakuna siri mzee.
 
Back
Top Bottom