Salum Mwalimu aahidi makubwa Kinondoni

Salum Mwalimu aahidi makubwa Kinondoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,664
Reaction score
272,503
Akihutubia Mkutano wa hadhara uliofanyika Magomeni Morocco , Mwalimu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ALITOBOA SIRI KWAMBA World Bank ilikwisha toa 16 bil za kuurekebisha Mto ng'ombe badala ya kuvunja nyumba za wananchi.

Salum ambaye duru za siasa za Kinondoni zinadai kwamba ni mbunge anayesubiri kuapishwa amesema serikali inawavunjia wananchi kwa lengo la kubania bil 16 .

" Msifanye makosa msichague mbunge dhaifu , nichagueni mimi najua kunusa zilipo fedha za maendeleo "

Chanzo - Mwananchi .
 
Ninavyojua anasindikiza tu nikuteue mimi gari nikupe mshahara nikulipe halafu umtangaze! mtamalizia wenyewe wanasiasa mimi kila nikiona wanasiasa wanapopoana nasema safi tu ili mradi siguswi
 
Ubunge atausikia tu kwenye bomba na ju ya jukwaa sio kuinvia bungeni
 
Akihutubia Mkutano wa hadhara uliofanyika Magomeni Morocco , Mwalimu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ALITOBOA SIRI KWAMBA World Bank ilikwisha toa 16 bil za kuurekebisha Mto ng'ombe badala ya kuvunja nyumba za wananchi.

Salum ambaye duru za siasa za Kinondoni zinadai kwamba ni mbunge anayesubiri kuapishwa amesema serikali inawavunjia wananchi kwa lengo la kubania bil 16 .

" Msifanye makosa msichague mbunge dhaifu , nichagueni mimi najua kunusa zilipo fedha za maendeleo "

Chanzo - Mwananchi .
Huyu Jamaa asipopita Kinondoni nahamia Temeke aisee,
 
Ninavyojua anasindikiza tu nikuteue mimi gari nikupe mshahara nikulipe halafu umtangaze! mtamalizia wenyewe wanasiasa mimi kila nikiona wanasiasa wanapopoana nasema safi tu ili mradi siguswi
E bwana eeee! Niliisahau hii kauli ya mkoloni mweusi aliyejawa na roho ya kutu, visasi na wahaka. Moyo wake unatamani mafarakano tu.
 
Huyu Jamaa asipopita Kinondoni nahamia Temeke aisee,
Chadema inapaswa kuongeza watu wa huduma ya kwanza kwenye mikutano ya Salum Mwalimu , kuna hatari ya watu kukanyagana na kuumizana , wanakuwa wengi sana !
 
Chini ya serikali hii ya kuhujumu wabunge wa upinzani ktk majimbo yao ?!!
 
Akihutubia Mkutano wa hadhara uliofanyika Magomeni Morocco , Mwalimu ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ALITOBOA SIRI KWAMBA World Bank ilikwisha toa 16 bil za kuurekebisha Mto ng'ombe badala ya kuvunja nyumba za wananchi.

Salum ambaye duru za siasa za Kinondoni zinadai kwamba ni mbunge anayesubiri kuapishwa amesema serikali inawavunjia wananchi kwa lengo la kubania bil 16 .

" Msifanye makosa msichague mbunge dhaifu , nichagueni mimi najua kunusa zilipo fedha za maendeleo "

Chanzo - Mwananchi .
Erythrocyte hivi upepo unauoneaje hapo Dar (anyway if you are in Dar es salaam)
 
Mkuu ccm imekufa DSM , msaada wao mkubwa ni polisi , lakini kwa Kinondoni kwa kumuweka tena Mtulia wananchi wanaona kama ni Matusi ya nguoni , ni wazi kwenye sanduku la halali ccm haiwezi kushinda .
 
Na kweli wanakinondoni wakimchagua huyo msaliti Mtulia, watakuwa walking corpses! Aliwasaliti to the maximum!
 
Mnyika=Chadema, Mdee=Chadema, Kubenea=Chadema, Jacob Mayor=Chadema nk nk. Atuambie hao chadema wamefanya mambo gani makubwa hadi nae afanye makubwa?
Ni nani alikula bil 16 za kuboresha mto ng'ombe ?
 
Chadema inapaswa kuongeza watu wa huduma ya kwanza kwenye mikutano ya Salum Mwalimu , kuna hatari ya watu kukanyagana na kuumizana , wanakuwa wengi sana !
Ingekuwa wanaokuja kwenye mikutano ndo watakao piga kura angeshinda ,tatizo ni kwamba wanakuja kukushangaa kwenye mikutano ila kwenye kupiga kura huwaoni unabaki oh nimeibiwa kura
 
Kuhusu suala la uchaguzi Kinondoni Paskali wa JF alisha maliza hoja zote. Ntu hawezi kuacha Ubunge (kwa sababu yoyote ile) kisha akarudi tena kuuomba. Ilisemwa kuwa huyu ni MALA.. wa Kisiasa.
 
Back
Top Bottom