Salum Mwalimu aahidi makubwa Kinondoni

Salum Mwalimu aahidi makubwa Kinondoni

Kuhusu suala la uchaguzi Kinondoni Paskali wa JF alisha maliza hoja zote. Ntu hawezi kuacha Ubunge (kwa sababu yoyote ile) kisha akarudi tena kuuomba. Ilisemwa kuwa huyu ni MALA.. wa Kisiasa.
Ni aibu sana !
 
Mnyika=Chadema, Mdee=Chadema, Kubenea=Chadema, Jacob Mayor=Chadema nk nk. Atuambie hao chadema wamefanya mambo gani makubwa hadi nae afanye makubwa?
Kwani wale wabunge wasiokua Chadema kwenye majimbo mengine wamefanya nini??
 
Hivi kuna Mtanzania mwenye umri unaopaswa hana hiyo kadi kweli ? Kinachotakiwa ni kuhamasisha wajitokeze kupiga kura baaaasi .
Kama kadi wanazo vizuri isiwe zile chaguzi tulizozoea mikutano mikubwa wapiga kura wachache kila mmoja ana udhuru waje wapige kura itapendeza
 
Back
Top Bottom