DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani.
Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea mkoani Mbeya kuendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.