Salum mkambala na gazeti la chama

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Huyu mtangazaji wa magic fm anaposoma vidokezo vya magazeti asubuhi huwa anapenda sana kusoma gazeti la uhuru. Basi utamsikia ninalo gazeti kongwe, gazeti la chama. Hivi kusema gazeti la chama ana maana gani? Yeye ina maana hajui kuwa sasa mambo ya kusema chama na serikali hayapo? Kwa kuwa sasa hivi ni mfumo wa vyama vingi. Bora kama anajisikia kujipendekeza kwenye chama chake kuwa anasoma gazeti lao aseme gazeti la ccm ili wamwelewe wanaolimiliki.
 
Hujui kuwa naye ni ------, brother anaweza kumsikia na kumteua mkuu wa wilaya.
 
Wanahabari wetu wengi wao ni wachumia tumbo. Wachache ni waoga na kiduchu waliobaki wamebanwa sauti hazitoki na zikitoka hazifiki mbali.
 
Huyu mtangazaji wa magic fm anaposoma vidokezo vya magazeti asubuhi huwa anapenda sana kusoma gazeti la uhuru. Basi utamsikia ninalo gazeti kongwe, gazeti la chama. Hivi kusema gazeti la chama ana maana gani? Yeye ina maana hajui kuwa sasa mambo ya kusema chama na serikali hayapo? Kwa kuwa sasa hivi ni mfumo wa vyama vingi. Bora kama anajisikia kujipendekeza kwenye chama chake kuwa anasoma gazeti lao aseme gazeti la ccm ili wamwelewe wanaolimiliki.

Kwani hujajua tu??? Anauwania "Unovatus Makunga, UAhmed Kipozi....nk" Kalaga baho!!!
 
Tuko wengi tunalloliona hili la watangazaji wa Channel ten. Mwaka jana niliandika humu JF kuhusiana na watangazaji kuishia kusema GAZETI LA CHAMA kana kwamba kuna chama kimoja tu hapa Tanzania.Inaelekea huo ni msimamo wa kampuni inayoendesha channel ten maana hata kabla ya Mkambala kujiunga walikuwa tiyari wanatumia msemo wa GAZETI LA CHAMA Mimi si msikilazaj wa kudumu wa Magic Fm au Channel ten isipokuwa kwa wakati wanapopitia magazeti na mimi huwa niko macho. Jirekebisheni kabla sijawasusia moja kwa moja.
 
Ni afadhali ya mchumia tumbo wa Magic FM kuliko wachumia tumbo wa JamiiForums.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hao wapo wengi, kabla ya huyo alikuwepo mwingine katika kipindi alikuwa anatetea CCM utazani yeye ni Nape, wengine wako Clouds, na wengine RFA
 
Vyombo vya hbr hatuna. wamenunuliwa na wengine ni wasaka vyeo
Hao wapo wengi, kabla ya
huyo alikuwepo mwingine katika kipindi alikuwa anatetea CCM utazani yeye
ni Nape, wengine wako Clouds, na wengine RFA
 
kwani hujajua tu??? Anauwania "unovatus makunga, uahmed kipozi....nk" kalaga baho!!!

ndio maana nchi hii iko nyuma kimaendeleo, kwa kuwa watu wanateuliwa bila kufuata sifa na weledi bali kwa minaajili ya kujikomba kisiasa.
 
Back
Top Bottom