Salt n pepa! Enzi ya enzi

Hao ni kiboko kwa kufoka fuko...aisee hatari sana hao....hawajatokea raper wa kike kama hao...bado sijaona...aisee
 
Dah!!!enzi hizo dunia yangu ya ujana kwa kweli ilikuwa taaaam sana.,maisha yalikuwa matam sikutegemeaga kama hawa ma~thithiem yataharibu "TAIFA MAMA" namna hii.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji781] [emoji781] [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
 
Wako wapi siku hizi hawa ma-bebiz?
 
Baada ya kuwa kimya kwa zaidi ya miaka 15 hawa TLC wawili wameamua kutoa album yao nyingine ambayo wanadai itakuwa ya mwisho.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…