Naona wewe hujui unachokiongea!! Maswali yetu ni haya;
1. Je mkuu wa mkoa alipaswa asome ile risala? Kwa nini isisomwe na mkuu wa shele ama mwenyekiti wa bodi ya shule? (iko wapi itifaki hapo kama si kujipendekeza?)
2. Anavyohutubia wananchi anahutubia kama nani na kwa minajiri ipi?
3. Je mke wa Rais ana mamlaka yoyote kikatiba hapa kwetu?
4. Je WAMA ni taasisi ya serikali? Kwa nini inatumia resources za serikali kama magari n.k.
5. Kwa nafasi yake kama mke wa Rais, je tutapimaje kama misaada inayotolewa kwa WAMA (based on her influence as the first lady) haitumiki kwa maslahi binafsi ya kwake na familia yake?
6. Kwa nini wakimaliza muda wao wa uongozi wanaondoka na taasisi zao?
7. Je huoni kwamba WAMA inatakiwa iwe responsible kwetu wananchi kwa sababu inatumia resources zetu kuanzia magari mpaka ofisi, sina uhakika na payroll, inawezekana pengine inatoka ikulu!!
Binafsi naona nchi hii inaendeshwa bila kufuata taratibu na best practice, mke wa rais ni mke kama walivyo wake zetu. Naamini anastahili ulinzi, mshahara na posho akisafiri basi. Haya mengine tunayoyaona ni mbwembwe tu za kikwere na yote yanatokana na watanzania kufubaa kiakili!
Vinginevyo tunatakiwa kuhoji haya mambo, kinyume na hapo siku Mama atakuja kumfukuza kazi waziri ama ofisa yoyote wa serikali kwa sababu naamini yeye na Mr. hawajui kama anavyofanya sasa si sahihi!! Wasaidizi wa rais pale ikulu wanajua haya si sahihi lakini hakuna mwenye ujasiri wa kumwambia Mama Salma wala Mkuu mwenyewe!
vipi wewe bana!!! Michele Obama huwa hapati hivyo ulivyouliza?Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au za chama na kila alipoenda amepokelewa kwa hadhi ha kupewa ulinzi na kupewa taarifa za utendaji wa serekali na wakuu wa mikoa na wilaya.
Hilo linanisumbua anapewa taarifa hizo kama nani ? Uraisi ana ubia nani anajua tuliangalie pia gharama za ziara zinatokana na kodi zetu ? Mimi sijui maana waliomtangulia hawakua na vituko kama salma jana alikua anahutubia mkutano wa hadhara Tarime chini ya ulinzi mkali wa askari wa FFU
......
Yeye ni first lady sawa. Lakini hawajawahi kuapa kikatiba kama kiongozi sasa kupewa taarifa au kufanya kazi za kiserikali si ndio hayo hayo? anavunja katiba na sheria zetu. .......
Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au za chama na kila alipoenda amepokelewa kwa hadhi ha kupewa ulinzi na kupewa taarifa za utendaji wa serekali na wakuu wa mikoa na wilaya.
Hilo linanisumbua anapewa taarifa hizo kama nani ? Uraisi ana ubia nani anajua tuliangalie pia gharama za ziara zinatokana na kodi zetu ? Mimi sijui maana waliomtangulia hawakua na vituko kama salma jana alikua anahutubia mkutano wa hadhara Tarime chini ya ulinzi mkali wa askari wa FFU
huo ni ufafanuzi maridhawa......kila mtu anahusiana kindugu na Kikwete nnchi hii anataka kuwa kiongozi, kweli haya mambo ni ya ajabu sana.Naona wewe hujui unachokiongea!! Maswali yetu ni haya;
1. Je mkuu wa mkoa alipaswa asome ile risala? Kwa nini isisomwe na mkuu wa shele ama mwenyekiti wa bodi ya shule? (iko wapi itifaki hapo kama si kujipendekeza?)
2. Anavyohutubia wananchi anahutubia kama nani na kwa minajiri ipi?
3. Je mke wa Rais ana mamlaka yoyote kikatiba hapa kwetu?
4. Je WAMA ni taasisi ya serikali? Kwa nini inatumia resources za serikali kama magari n.k.
5. Kwa nafasi yake kama mke wa Rais, je tutapimaje kama misaada inayotolewa kwa WAMA (based on her influence as the first lady) haitumiki kwa maslahi binafsi ya kwake na familia yake?
6. Kwa nini wakimaliza muda wao wa uongozi wanaondoka na taasisi zao?
7. Je huoni kwamba WAMA inatakiwa iwe responsible kwetu wananchi kwa sababu inatumia resources zetu kuanzia magari mpaka ofisi, sina uhakika na payroll, inawezekana pengine inatoka ikulu!!
Binafsi naona nchi hii inaendeshwa bila kufuata taratibu na best practice, mke wa rais ni mke kama walivyo wake zetu. Naamini anastahili ulinzi, mshahara na posho akisafiri basi. Haya mengine tunayoyaona ni mbwembwe tu za kikwere na yote yanatokana na watanzania kufubaa kiakili!
Vinginevyo tunatakiwa kuhoji haya mambo, kinyume na hapo siku Mama atakuja kumfukuza kazi waziri ama ofisa yoyote wa serikali kwa sababu naamini yeye na Mr. hawajui kama anavyofanya sasa si sahihi!! Wasaidizi wa rais pale ikulu wanajua haya si sahihi lakini hakuna mwenye ujasiri wa kumwambia Mama Salma wala Mkuu mwenyewe!
...Tz jamhuri ya MABWEGE!!!! wachache sana wana akili timamu, waandishi wote wa habari ni mabwege!!jamani hii ni tanzania zaidi ya uijuavyo akuna mwenye kujua itifaki zaidi jamani maana hili swala ni kubwa zaidi ya tunavyoliona au ni kujikomba kwa wahusika kwa mkuu wa nchi mana watz kwa kujikomba atujambo
mama kuwa kilaza wala haina mjadala....ni kilaza kwelikweli.....mzungu wa reli.Tusisahau pia aliwahi kulishika Kombe la Dunia kinyume na utaratibu wa FIFA, hata kufikia hatua ya kuzuiwa na moja ya wasindikizaji wa kombe hilo:
Mkwere anatakiwa ajibu maoni ya wanaJF
wewe utakuwa Muha bila shaka....umequote kuwa anatoka lindi halafu unaleta tetesi juu ya confirmation kuwa anatoka Singida.....Nadhani huyu mama kwao ni Singida kama sikosei!