Salma Kikwete anapomfanyia kampeni Rais ajaye

Salma Kikwete anapomfanyia kampeni Rais ajaye

Unataka kuniambia Josephine asigombee chadema kwa sababu Slaa yupo.Akili za kitoto zinashida
 
Mwanaasha si alifeli si ataingia ktk siasa pia...!!!!?

~~ Huyu mama has a very low ACADEMIC QUALIFICATIONS.... angejiendeleza kuliko kutia aibu...

Kama academic qualification ndio zingekuwa ni kigezo cha kuchaguliwa kuwa kiongozi basi watu kama Jacob ZUMA-Rais wa sasa Africa Kusini, John Major-Maziri mkuu wa zamani wa Uingereza na wengine wengi elimu yao ilikuwa ya kawaida kabisa, lakini hilo alikufawanya wasichaguliwe kuwa Viongozi. Kwani Tanzania kuna sheria gani inayo wafunga pingu wana familia za viongozi wasijihusishe na mambo ya siasa?
 
Hapo kwenye RED, naomba ufafanuzi wako kuhusu "heshima" ya Bi. Salma unayoizungumzia, ili nichangie kwa uhuru zaidi.[/QUO Kwa kuongezea tu katika hilo,uzoefu unaonyesha kuwa mke wa Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiye KILAZA ZAIDI ikilinganishwa na marais wote waliopata kuliongoza Taifa hili.
 
Kama mkewe Rais, anastahili heshima kama first lady. Huyu ni mama wa taifa, hata akiingia kwenye siasa ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa
 
mwache mama Slama amkampeni anaemtaka.ana haki sawa na wewe tofauti ni kuwa yeye mke wa Raisi hata wewe unachaguo lako..labda tuonyeshe wapi amekiuka katiba ya nchi kama mke raisi kwa kumkampen membe.!
 
Mkuu CTU, ni vyema ukasoma na kuelewa kabla huja anza kujivua nguo zako kwa kuonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiria mambo.

  1. Nashukuru kwa kunifumbua macho mkuu CTU, kumbe Salma ndiye aliye mruhusu Kikwete kugombea urais mwaka 2005, mie nilidhani ni chama chake cha CCM. Hili nalo neno...........
  2. Hakuna aliyehoji Salma Kikwete kumpigia mumewe kampeni, bali ni Salma na watoto wao kushika nafasi kubwa za maamuzi kwenye chama. Jiulize, je hiki kilitokea kwa marais wengine walio tangulia?
  3. Ni dhahiri Dr.Slaa anawanyima usingizi, na msipoangalia kuna hatari ya kupata pressure, Stroke au vyote kwa pamoja ifikapo 2015. Tuambie Josephine Mshumbusi ana nafasi gani katika chama cha CHADEMA?
  4. Mkuu CTU ni vyema ukajibu maswali kwa kutoa hoja na siyo porojo na kutokwa na mapovu. Kwa mfano great thinker ameuliza kwa nini JK ameamua kupanga familia yake, ndugu na jamaa zake kwenye safu ya maamuzi ya chama? Ni dhahiri kuna kitu kinafichwa nyuma ya pazia. Je wajua Membe na Jakaya ni ndugu? na ndo huyo anayepigiwa upatu na Salma Kikwete ili awe mrithi wa Jakaya? on other hand wanataka kugeuza urais uwe wa familia? Tafakari.......chukua hatua !!!!!

Wanajanvi naomba kuwasilisha.

Mkuu kwanza kabisa nina wasi wasi kuwa hujajua miki nimejibu point ipi katika hii thread...

Mtoa mada kama umesoma thread yake anauliza na kuhoji umuhimu wa salma kujiingiza kwenye siasa kama vile nindhambi kwa yeye na cheo chake kujiingiza kwenye siasa , kama vile siasa kaanza kujiingiza kwenye kumpigia debe huyo membe mnayemsema

Mimi nikawa namsupport kwa yeye kujiunga na siasa na hiyo mdio point yangu sasa wewe hapa hujaelewa nini?

Pili umesema kuwa mimi nina upeo mdogo wa kupambanua mambo ila upeo wake hujaushtukia , ulikuwa hujui kuwa salma ndio kamshawishi jk kuingiankwenye siasa kama ulikuwa hujui jua now

Wewe mfano ukitaka kujiunga na ccj mtu wa kwanza kumwambia ni nani? Si mkeo ? Akikukubalia si na yeye kajiingiza kwenye siasa changanya na zako
 
Mkuu CTU, ni vyema ukasoma na kuelewa kabla huja anza kujivua nguo zako kwa kuonyesha uwezo wako mdogo wa kufikiria mambo.
  1. Nashukuru kwa kunifumbua macho mkuu CTU, kumbe Salma ndiye aliye mruhusu Kikwete kugombea urais mwaka 2005, mie nilidhani ni chama chake cha CCM. Hili nalo neno...........
  2. Hakuna aliyehoji Salma Kikwete kumpigia mumewe kampeni, bali ni Salma na watoto wao kushika nafasi kubwa za maamuzi kwenye chama. Jiulize, je hiki kilitokea kwa marais wengine walio tangulia?
  3. Ni dhahiri Dr.Slaa anawanyima usingizi, na msipoangalia kuna hatari ya kupata pressure, Stroke au vyote kwa pamoja ifikapo 2015. Tuambie Josephine Mshumbusi ana nafasi gani katika chama cha CHADEMA?
  4. Mkuu CTU ni vyema ukajibu maswali kwa kutoa hoja na siyo porojo na kutokwa na mapovu. Kwa mfano great thinker ameuliza kwa nini JK ameamua kupanga familia yake, ndugu na jamaa zake kwenye safu ya maamuzi ya chama? Ni dhahiri kuna kitu kinafichwa nyuma ya pazia. Je wajua Membe na Jakaya ni ndugu? na ndo huyo anayepigiwa upatu na Salma Kikwete ili awe mrithi wa Jakaya? on other hand wanataka kugeuza urais uwe wa familia? Tafakari.......chukua hatua !!!!!
Wanajanvi naomba kuwasilisha.
asante mkuu naona jibu hilo liyakuwa limemtosha CTU
 
Nilisahau. Urais ni swala la Familia..... JK
Wewe kila mtu unamlaumu tu sasa nimekuja uniambie lini nimekushobokea wewe maana jana ulitamba sana hapa kunichafua...Haya tuendeleze mjadala na umbeya wako
 
Familia ya Kikwete ina hofu ya kuburuzwa mahakamani baada ya kumaliza muda wao kwa sababu ya kumtesa Dr. Ulimboka na kumuua mwandishi Mwangosi. Hiyo laana inawaandama!!! Ndio maana roho ziko juu juu!!!
 
Dr hajatia mkono jamani, shinikizo ni toka kwa mama na mwana
 
Wewe kila mtu unamlaumu tu sasa nimekuja uniambie lini nimekushobokea wewe maana jana ulitamba sana hapa kunichafua...Haya tuendeleze mjadala na umbeya wako
Je Tutafika?
 
Ndugu Tunguli, kwa kuwa Rais wetu wa sasa ndie ataongoza katika kuzungumzwa mambo hasi (negative) kuliko marais wote waliopita basi amejitahidi kuwaweka ndugu zake ili wapunguze kasi yake ya kuzungumzwa mambo hasi kwenye vyombo vya maamuzi, pia ulivyosema ni sahihi zaidi kwamba first lady ameanza kampeni, rais kuweka familia yake kwenye vyombo vya maamuzi ni kuhakikisha anaweka rais anaemtaka.

Sasa Tunguli thread yako imeanzisha rasmi kitu kipya, makundi yanayogombea urais katika chama cha mapinduzi ni mawili
1.Kundi la Lowasa na wapambe wake
2.Kundi la Membe na wapambe wake
sisi wana urambo mmetuacha sio, na mzee wa bunda je?
 
Hujaeleweka unaposema kuwa mama salma kikwete unapomshangaa kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa

Ila hujashangaa yule mke wa babu yenu kujiingiza kwenye siasa za maandamano mpaka kupigwa mkong'oto wa akili na wale polisi kule arusha...
Anyway hivi umesahau kuwa kitendo chanyeye kumruhusu jk agombee urais tayari kashajiingiza kwenye siasa so alijiingiza kwenye siasa since 2005

2005 alikuwa anapiga kampeni jk na shein umesahau

Unaposema kuwa ndio mke wa raisi wa kwanza sio kweli mama anna mkapa naye since 1995 alikuwapo kwenye kampeni
Mna upeo mdogo nyie, kwani babu ni rais, hapa tunazungumzia mke wa urais basi nimekuelewa kumbe babu ni rais ajae.
 
Back
Top Bottom