Acheni majungu wanajamvi, badala mjadili tatizo la wahasibu fake! wasiojua wajibu wao hata kuandika cheki wanasindwa, mnamsema mama wa mh. kawakosea nini??
Siku zingine tumfagilie, anajitahidi miongoni mwa akina mama.
hahaha hha mkuu, kumbe kwa nyie mnaojua mahesabu ya kibenk hii iko sawa, lol, ila kwa sisi tunaojua mahesabu ya kimjini mjini hii imechakachuliwa:bange:haijakosewa tuulizeni sisi tunaojua mahesabu ya kibenki
Hivi hapa wa kulaumiwa ni nani alieandika hiyo hundi au aliepokea?View attachment 29694
Hii alishawahi fanyiwa pia Mkuu wa kaya.
Hivi hapa wa kulaumiwa ni nani alieandika hiyo hundi au aliepokea?
kajitahidi kwa li[pi kwa mfano?
Hivi hapa wa kulaumiwa ni nani alieandika hiyo hundi au aliepokea?