Salim Kikeke arudishwe nyumbani

Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
Yani kikeke aje kufanya kazi kwenye huo uchafu wa CCM aharibu CV yake?
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
Si yeye anatafuta malisho ya kijani,wathungu'green pastures'-tshs 40,000,000/=pm
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]

Changanya na zako.
 
Hapo ni sawa na.mzee Wa upako kuifufua maiti,haiwezekani TBC kirudi ile ya Tido 2010
 
Kikeke ana uraia wa kudumu kwa Malkia! Usitengemee kama atarudi kufanya kazi bongo hata akiteuliwa kuwa RC mpya wa Arusha usitengemee kama atarudi bongo!

wakati anatafuta ajira bongo alizunguka sana
Ni kweli kabisa hawezi kukubali,historia yake ukiisikiliza mpaka anatoka kimaisha inahuzunisha sana,halafu leo harudi tena bongo huku si kutesana jamani,kama akibahatika kurudi bongo kibongo bongo azam ndo ataweza mlipa na sio serikali
 
Wamchukue labda salama jabir,naona atafaa sana kuongoza hii tbc
 
Yaan mnamvunjia heshma kikeke yaan katka vyomb vya ubaguzi Wa habari za kisiasa hapa nchini TBC inaongoza mengiii utasikia misifa y kupeana labda ITV
 
nimegundua mambo aliyoyaongea Ommy dimpoz jana yana kaukweli unaweza kuona mtu kama anakusapoti katika maisha kumbe anataka uanguke na kubaki chini, acha kumuombea salim kikeke mambo mabaya katika maisha
 
~~~~~>>>>Kuwa Mtangazaji Bora tofauti na kuwa kiongozi Bora...... Kilichokosekana TBC ni kiongozi bora na si Watangazaji bora.

~~~>>>>Kikeke anaweza kuonekana bora kwakuwa anaongozwa na menejiment bora.... Lakini akawa sio meneja mzuri....

Mfano... Si lazima mchezaji bora awe kocha bora..... Anaweza akawa mchezaji mahiri lakini ukimpa timu aifue akavurunda....
 
Back
Top Bottom