Salim Kikeke arudishwe nyumbani

Kupendekeza Salim Kikeke aje awe Mkurugenzi wa TBC ni kutaka kumpoteza........

Tujikumbushe yaliyomkuta Tido Mhando baada ya kuombwa na Rais wa awamu ya 4 JK, aondoke kule Uingereza......

Aliporejea alidhani TBC ni kama BBC ambayo licha ya chombo hicho kuwa cha Umma ni free media isiyoegemea upande wa watawala.

Tido Mhando alipotaka kuifanya TBC iwe kama BBC, akakuta 'remote control' ya mtaa wa Lumumba inampiga STOP.......

Alipogomea maelekezo ya 'remote control' ya Lumumba ya namna ya kuendesha TBC, Tido akagomea....

Hapo ndiyo alipotafutiwa tiketi ya kutokea TBC.

Hebu jaribu kifikiria hivi huyu Ayoub Rioba ambaye ni Mkurugenzi wa TBC hivi ndiye yule yule kweli Ayoub Rioba wa Kabla hajawa Mkurugenzi wa TBC?

Jibu la wazi utakalopata ni kuwa They are 2 different people........

Na hiyo inatokana na kuwa Ayoub Rioba wa sasa amelazimika kwenda kuweka rehani taaluma yake ya habari pale mtaa wa Lumumba na hivi sasa 'job descriptions' zake anapewa na Katibu mwenezi wa pale Lumumba!
 
Kuna tetesi kikeke atakaporudi nyumbani basi ana namba ya kudumu azam
 
Inawezekana huyu riyoba hata vyeti vyake original.viko lumumba ndioo.maana hasikiki kabisaaaa
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
Wache iendelee kupoteza mvuto.
Si wametaka wenyewe
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
Jiulize Tido alitumbuliwaje? Inabidi uwe upande ule au utoke. Tido hakuogopa kuuliza kitu kwa mtu yeyote ndo maana alishaingia matatani wakati wa Moi akiwa Kenya. Huyu Lyoba labda alipewa masharti ambayo ni kuhakikisha TBC ni ya chama tawala ingawa kodi tunalipa sote wenye vyama na wasio navyo.
 
Back
Top Bottom