Salim Kikeke arudishwe nyumbani

tbc haina mvuto kbsa kuanzia yale ma mama yanayotangaza hayana mvuto yamefutuka sana.mashavu makubwa yaani haya mvuto km wa kina jackline selemi.yaani ukiyaangalia unachafuka roho sana ni bora uangalie hata catoon tuu.hawajifunzi kwa ITC,KTN,CITIZEN,AZAM,NTV yaani hizi zinavutia sana bwana kuliko kuangalia yale ma mama ya TBC
 
Back
Top Bottom