Salim Kikeke arudishwe nyumbani

Fani za watu zinapoingiliwa ndivyo mambo yanavyokuwa,riyoba alikuwa smati san lakini tangu amekwenda huko hasikiki tena sijui nini kimemkuta
 
Kikeke anao uwezo wa kuirudisha TBC kwenye mstari, lakini hapana bora asije atafutwe mtu mwingine sababu wapo wengi wenye uwezo zaidi ya kikeke. Wanahabari wengi wanamuangalia Salim kikeke kama roll model wao
 
Hata Nani apelekwe issue inabaki watawala wanakubali chombo chao kiwe huru.....!
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
ungekua wewe ungekubali kwenda kupokea mshahara wa laki tisa?
 
Kuna habari nilizipata juzi eti hata suzan mongi yupo hapo tbc!!! Sina uhakika kwani nina miaka sijaiangalia! Ila nadhan anafanya kazi kwa staili ya funika kombe
 
Ushauri wako sio mzuri Kwa Kikeke mwenyewe wala si Kwa serikali hii inayoongozwa na ccm
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
Kunywa Maji Mwanangu
 
Kumleta Salim Kikeke TBC badala ya Dkt. Ayub Ryoba ni sawa sawa na kumkataa Yesu Kristo na kumkumbatia Shetani. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
NILIVYOMWELEWA MTOA MADA NI KUWA ANAOMBA SALIM KIKEKE ARUDI KUIOKOA TBC KWA SABABU IMEPOTEZA MVUTO 100% TOFAUTI NA ENZI ZA TIDO MHANDO. IKIWA TIDO ANGERUDI TBC UNGESHANGAA 75% YA WAANGALIA TV WANGEHAMIA TBC.

Mkuu, ile 2009/2010 hata mimi nilikuwa naangalia taarifa TBC kwa furaha sana na baadaye MCHAKATO WA UCHAGUZI MAJIMBONI na Shaaban Kisu. Kilichotokea baada ya hapo wote tulikuwepo hakuna haja ya kusimuliana na TBC imeishia kuwa hivyo ilivyo.

Hebu tumuache kijana mwenzetu alee familia yake changa kwa utulivu.
 
KBC Channel 1 ukiiangalia unaona kweli hii ni runinga ya Taifa hata ile ya Mozambique sijui inaitwaje iko vizuri, quality ya picha safi, graphics nzuri za kuvutia,mpangilio yaani programing iko poa,watangazaji attires ziko byee,studio set saafi sie wameweka mascreen sijui ya tcl yale! yaani hapo TBC Panahitaji mtu aliekaa newsroom na mwenye talent ya kuongoza hapo,Dkt nadhani wangemwacha aende kwenye taaluma huko ni mbobezi sana na mchambuzi mzuri ila huku tbc mmh
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
acha ujinga wewe jamaa. Kijana wa watu anafanya kazi nzuri huko BBC mpaka watanzania tunajivunia leo hii mnataka mmpoteze kama mlivomfanya Tido
 
wacheni kutaka kuua vipaji vya watu akirudishwa hapa kwisha kazi yake ,,,,,,tbc aisimamie nape
 
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
AZAM naona wamegundua kuwa ukiweka free channels kama ITV na nyingine hakuna anayeikumbuka hwa jamaa hivyo wakaamua kuziondoa. Juzi kati nikakuta king'amuzi kimeisha pesa na channel pekee iliyobakia kwa habari ni tbc nikaamua kuzima tv na kwenda kujisomea kitabu!
 
acha ujinga wewe jamaa. Kijana wa watu anafanya kazi nzuri huko BBC mpaka watanzania tunajivunia leo hii mnataka mmpoteze kama mlivomfanya Tido
Mkuu nilikuwa natoa tu maoni,that's the level of my foolishness wahusika kama wanaona linafaa watalifanyia kazi au kuliacha kama halifai.
 
Back
Top Bottom