Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Salary ya kikwete for 10yrs ni Tsh 3 bilion

Status
Not open for further replies.
Nadhani hizo milioni 30 za Maximo zilitoka kwenye miradi mingine. Sidhani Kikwete anategemea mshahara wa Ikulu peke yake.
Kusema maximo analipwa na rais haimaniishi atatoa kwenye salary yake..rais ndo mwajiri mkuu wa serikali na maximo alikuwa mtumishi wa umma kama watumishi wengine hvyo salary ilikuwa inalipwa na kodi za watanzania
 
kwa rais wa nchi kama kikwete ambaye han uchungu na nchi yake na ambaye aliingia madarkani kwa kutumia pesa yake nyingi hiyo pesa ni ndogo sana na siamini
Nataka nikutajie miradi ya kikwete ambayo inamwingizia pesa 5times ya hizo 3bil lakini....
 
hivi amekuwa akilipwa salary kwa kufanya kazi gani? coz kwa uelewa wangu mdogo mtu hulipwa salary baada ya kutenda kie alichoajiriwa kufanya. so yeye amefanya nini so far? au analipwa kwa kuwa bingwa wa kusafiri among african leaders? coz tukitoa tuzo hiyo lazima ashinde.yani anashindana na clinton kwa sasa kwa trip afanyazo.so disgusting
 
Salary jk kwa mwezi ni 25mil kwa mwaka ni 300mil kwa 10yrs ni 3bil..just a salary.. wat about you? wat is yours?

Sidhani mbona Ndogo sana? Unataka kuniambia anazidiwa na wakurugenzi aliowateua wa mashirika makubwa makubwa?
 
Sidhani mbona Ndogo sana? Unataka kuniambia anazidiwa na wakurugenzi aliowateua wa mashirika makubwa makubwa?
Kuwa rais wa nchi haimaniishi umiliki mali za gharama kama magari,nyumba,n.k. Kuna vigogo wapo bungeni ni noma hao wakurugenzi wakasome
 
Dah mshahara mdogo sana huo wamwongezee at least asilimia 300% zingine
 
Kwa kutofautiana na viongozi wa nchi nyingine rais wa Marekani anajinunulia au kujilipia mwenyewe chakula chake.

Mshahara wa Rais wa Marekani unakatwa kodi kuchangia maendeleo ya taifa lake, wakati mshahara wa Rais wa Tanzania haukatwi kodi na hana hachango wowote kustawisha taifa lake. Anachofanya ni safari nyingi za nje ya nchi kwenda kuomba wampe kodi walizolipa marais wenzake.
 
Wewe jamaa unafananisha Marekani na Tanzania?? Daktari wa marekani analipwa sawa na Daktari wa Tanzania wafikiri kwanza huyo Obama mwenyewe hapo analipwa hela ndogo sana hapo marekani kuna Ma CEO wengi tu wa makampuni ya marekani wanachukua 1 mill per month usd
Jaribu kutumia uhalisia wa nchi sio kulinganisha Nchi na nchi
 
Nzuri, huonekani?
Nani kakuficha??

nipo sana Nimehama MMU kule niko jukwaa la Sports mdau mkubwa sana ati...we sh upendi ma sports? After all nimepata jiko nalo limechangia "kunipoteza"
 
Mtimkavu hiyo salary ni kubwa sana kwa rais mtu ambaye anapewa kila kitu for the rest of his life yeye na family yake

watz tunamengi ya kujifunza. maana wewe unstaka rais alipwe laki mbili ili tutie aibu kuwa rais mavazi yake ni mabaya.atembe na mguu ili usalama wake uwe hatari. ale kwa mama ntilie ili abane bajet. si ndivyo unavyo taka au?
 
Mimi ninaziona hizo TSHS 3 Billlion kwa miaka 10 ni ndogo sana ukilinganisha na Mtu kama Rais Wa Amerika Barack Obama anayelipwa kwa Mwaka Mmoja Dola Laki 4. Kutokana

na majukumu aliyokuwa nayo mengi Rais wetu kulipwa Pesa ya Shillingi 3 Bllioni kwa miaka kumi ni ndogo sana

mimi nilifikiri analipwa kwa kila mwezi? kumbe pesa ya Miaka kumi?Mkuu Mozila Hebu hizo Pesa Ya Rais wetu TShS 3 Billioni Zifananishe kwa Dola itakuwa ni dola ngapi? What will obama salary be as president?
Answer:
The President of the United States earns $400,000 a year. The vice president's annual salary is $221,100


What will obama salary be as president

Obama anaongoza {Taifa} state karibu bara loote la Afrika

Kikwete anaongoza mtaa

Uchumi wa USA ni mkubwa saaaaana au uko juu tofauti na mtaaa wetu

Obama mchapa kazi

Rais wetu daily anadhurura tuuuu
 
Last edited by a moderator:
..kama analipwa hiyo hela ..basi ni ndogo sana...ndio maana anasafiri sana kujazia na posho...ombi langu tumuongezee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom