Salary scale Global Communities managerial position

infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
242
159
Habari wana Jamiiforums,

Kuna hii NGO ya kimarekani inaitwa Global Communities wameniita kwenye interview. (wameniambia kutakuwa na interview kadhaa). Naomba mwenye clue/info ya salary zao anijuze kwa managerial position.

Ahsante

Infomania
 
Back
Top Bottom