Preta unamaanisha babii wako au babu wako?kwanza nataka nimrudie bebii wangu.....naandaa mbuzi wa msamaha......
Garma lawayiSidaraami bana we dasi ndo umenisusa
Sidaraami bana we dasi ndo umenisusa
jusi jusi hapa nimefunja malapa yangu.....sasa mpaka Qumnas atoke Dareda alete ingine ndio nikutafute.....wacha tu baaba.....
hivi lile shindano ulishinda? mi hata sijui liliishaishaje. vipi uchaguzi ulikua huru na haki?. hahahahaaaa....!!!. miaHata mimi pia Nakupenda sana.Na upendo wako umeongezeka pale uliponipa kura yako ya kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha Miss ChitChat.LUV U MOREEEEEEEEEE!!
Preta unamaanisha babii wako au babu wako?
Una wengi sana sasa ni yupi? mtu chake ? KakaKiiza ? TANMO au nani?
Mi kwanza ukirudi kwa mtu chake au mmoja wao sina tatizo coz hata mimi nimemiss sana mambo ya mtaani kwa akina BADILI TABIA Remmy Yummy YNNAH na my wife wa kudumu Amyner bila kumsahau alozindua mtambo wangu Kongosho
kwanza nataka nimrudie bebii wangu.....naandaa mbuzi wa msamaha......
st paka mweusi upo asante kwa like!
hata mimi unanipenda....? mwambie paka myeusi nampenda sana......
Hizi habari kwamba erick52b alikuwa jando Monduli ni za kweli? charminglady, Remmy, @ Cacico, gfsonwin (sweet mom) mmezikia? Halafu ghafla tuu anaanza kumsalimia wa moyo wangu jeneneke! Jamani hii ni haki? Hebu akina Bishanga, @Aspirin, Baba V, ruttashobolwa mshenga na wengineo niambieni. Ni haki mtu mtu kutoka jando anaanza kumsalimia wa moyo wako?
Kama ni salamu hapo hakuna hatia labda kama ni vinginevyo!