Leo ni weekend nani unampa salamu ili aenjoy weekend yake kutokana na maneno mazuri uliompa .
Mimi nawapa wote salamu wale wanaonikubali.
Weekend njema na ufurahie pia
Ukitaka upendwe kuwa heshima nakujua kuwahandle wanawake kuna njia ukiijua ni raha sana .
Wanawake hawapendi hela hujajua tu wanapenda kampani na kumjali namatani na kumuona yeye ni rafiki yako so ukifanya hivyoo huwi mpweke

Sio kweli...mimi kuna mmoja nilionyesha kumjali akawa ananiita mshamba😂😂.......na mimi nikapiga chini mpaka leo huwa anajiuliza mwizukulu mgikuru huwa ana matatizo gani kichwani