Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 210
Kwa niaba ya familia ya Prof. Rutashoborwa LLB (Oxford, UK), LLM (Yale University, USA), PhD (Cambridge UK,) wa Manhattan, New York, NY, USA.
Tunatoa pole kwa uongozi mzima wa kasri
la kifalme Uingereza kwa kuondokewa na mtawala (Bibi yangu) Malkia Elizabeth.
Hakika ni uzuni kubwa kwa mataifa ya Common Wealth na ulimwengu kwa ujumla.
Nenda salama mtukufu Malkia.
Sitasahau wema wako kwetu sisi watoto wadogo enzi hizo tunacheza katika kasri lako. Ulitupenda sana mimi na Cathy na Edward Jr.
Raha ya milele umpe e Bwana,
Apumzike kwa amani.