SALAMU ZA M/MTUKUFU WA RAMADHANI TOKA KWANGU NA FAMILIA YANGU

LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,173
9,641
Asalam Waleykum ndugu zangu,Mimi na familia yangu tunawatakia kheri katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani nawakumbusha Waislamu wenzangu kujitahidi kufanya ibada kwa wingi,ikiwemo kusoma Quran,kuswali sana hasa swala za Suna na kutoa zaka.
M/Mungu awajaalie waislamu wote kutimiza sunna hii ya mfungo mwema
 
Ndio muda wenu wa kuvaa ukondoo kumbe mbwa mwitu wakubwa..
InshaAllah nitajitahidi kuishi ki kondoo hata baada ya mfungo wa Mwezi wa Ramadhani
Tuombeane Binadamu hatujakamilika
 
Back
Top Bottom