Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
Wakati wa kupigania Uhuru wa Afrika ya kusini, ANC walikuwa na salaamu yao special 'Amandla'! ikimaanisha 'Power' kwa Kiingereza au 'Nguvu' kwa Kiswahili.
Nilibahatika kumsikia Mbunge mmoja wa chama tawala hapa kwetu akipinga na kuibeza salaamu ya chama fulani, yaani hapendezwi na nguvu ya umma!
Hivi swali la kizushi; Kama kiongozi hapendezwi na nguvu ya umma anakuwa anapendezwa na nguvu ya nini? Labda anakuwa anapendezwa na nguvu zake! Au nguvu za dola au labda nguvu ya wenye mamlaka!
Hebu angalia jinsi nilivyotohoa wanavyoelezea amandla in Zulu and Xhosa or Amaka in Nyakyusa, Ngonde, Ndali!

*Amandla (Power)
Amandla is a Xhosa and Zulu word meaning "power". The word was a popular rallying cry inthe days of resistance against Apartheid, used by the African National Congress and its allies.
The leader of a group would call out "Amandla!" and the crowd would respond with "Awethu" [1] or "Ngawethu!" [2] (to us), completing the South African version of the rallying cry Power to the People! . [3] The word is still associated with
struggles against oppression.
Mandla, which is derived from "amandla", is also a common first name in South Africa . The Alternative Information and Development Centre (AIDC) publishes a magazine by the same name.