Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu, niliumia sana, mpaka leo nakumbukaga tu

Inaonekana una maadili Sana na shukuru Sana Hilo, japo wkt unapiga bia hujasema ulianza zamani au kipindi flan. Pole
 
Kabisa, kuna mmoja nilimtoa kisiasa sana baada ya kutumia nguvu kushindikana,yan kuna wanawake ukiwa nae hata umuue hatotaka muachane

Kuna limoja linanipa shida kishenzi sjui nifanyajee kuna kipindi nilishawahi kukimbia dar kwa ajili yake nalo likaenda zenji baada ya kuskia nmerudi dar nalo limekuja daah yaani nna tabu sana mwenzenunajuta hata kumfahaamu aswe
 
Pole
 
Back
Top Bottom