Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu, niliumia sana, mpaka leo nakumbukaga tu

Kwahiyo mwanangu unaandika nyuzi kujisifu ulivyomtombea mpambanaji mwenzio utadhani we mwarabu wa dubai mwe visima wakati nawe mtafutaji ka wengine...amini usipokuja nawe pelekewa moto sijui.. Bro code heshim mke wa mtu watoto wa kike kibao mtaan
 
Kwa uelewa wako umeona hapo najisifu?
 
Kwa uelewa wako umeona hapo najisifu?
we endelea tu mzee...watoto wa kiume wanaliwaga kiboga...na ukiendeleza hizo tabia usije geuzwa...katika vitu nisivyovikubali ni huo usela mavi...bora dem angekupa ngwengwe tu ungenyoka...
 
Mbona unanilalamikia au ni mke wako nilimtafuna?🤪 Mbebe mkeo mgongoni kama unataka awe salama
 
1. Huyo mwanamke nae alikuwa mzembe sana,kila text mumewe anaziona?
2. Kama ulikuwa umefika bei pamoja na kuwa na watoto ungejitwisha tu. Kwani watoto nini?. Kuna uwezekano ndio wangekupa baraka hatari
3. Ilipaswa umuoe huyo mwanamke ksbb wewe na yeye ndio chanzo cha ndoa yake kuvunjika. Na sio kwa bahati mbaya. Hiyo ulijua kabisa
 
Heading : Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu.

Lengo la mtoa uzi lilikuwa ni kupika ugali ila kupitia comments za wakuu (Ulikula mbususu??) nikaona jamaa anaanza kutia maji kwenye sufuria, hatimaye uji ukawa umepatikana.
 
Ametuzungusha sana.

Half baked suspense.
 
Back
Top Bottom