CosaNostra
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 382
- 139
Angalia salamu maalum ya Lowassa - Wanasema: Mabadiliko Lowassa.... then Lowassa mabadiliko. Mikono inavyozungushwa inaonesha kwenda mbele kisha kurudi nyuma, hii ina maana gani?
Ebu jaribu kuzungusha kitufe cha sauti cha redio - toka chini hadi mwisho na kurudi tena chini , utakuwa umewasha Redio kisha na kuzima.
Au nenda clockwise then rudi anticlockwise the same degree, hatua ngapi utakuwa umepiga?
Kifupi: Lowassa anajua hawezi kufanya kazi - amechoka mwili na akili, ndio maana hata anachanganya mambo kila uchao.
Hii salamu yake ni kuwaambia wajinga nawazungusha mbele na nyuma, mnarudi pale pale.
Kifupi hii ni kejeli.