Salamu Warioba: Chonde chonde baba!

Salamu Warioba: Chonde chonde baba!

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,157
Salam kwako,

Uliyekuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya katiba.

Kwa uelewa wangu na wengine wengi, historia inatufundisha kuwa umewahi shika nafasi mbali mbali za kiuongozi katika taifa letu hili pendwa.

Si jambo jepesi na inatokea kwa watu wachache mno kuweza pata nafasi tofauti za uongozi wa juu katika nchi tena kwa vipindi tofauti, hili pekee linatosha kuonyesha kwamba wewe ni mtu mweledi na mchapa kazi, sifa mbayo watawala waliona ni vyema kukitumia kipaji chako katika kulisaidia taifa hili, tunashukuru sana.

Taifa kwa sasa lipo katika mchakato wa kupata katiba mpya ambayo wewe na wenzako wachache mliteuliwa na Rais wetu, na kukabidhiwa jukumu la kukusanya maoni yetu ili baade, mawazo yetu na matarajio yetu yawe kauli moja kama taifa , kazi ambayo mliifanya vizuri, na tunawapongeza sana kwa hilo.

Hatua ya sasa ambayo ni muhimu ni kwa pendekezo la katiba lililohakikiwa na bunge, kama mhimili mwingine wa dola , kupelekwa kwa wananchi ambao ndio wenye maamuzi ya mwisho kama wanakubali mapendekezo hayo au la.

Wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusiana na yaliyomo katika mapendekezo hayo, ili muda unapofika wa kufanya hivyo wafanye maamuzi sahihi.

Watu, taasisi na vyama vimechukua jukumu hilo kwa ajili ya kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya maamuzi sahihi, ni jambo la heri kwa ustawi wa taifa letu.

Hivi majuzi tumesikia na kuona yale yaliyotokea pale ubungo, jambo ambalo sitaki nilizungumzie sana kwani limeshazungumziwa na wengi na sihitaji kurudia rudia kwani nitakua nawachosha wengine. Yaliyotokea yametokea, na binafsi nakupa pole na mikiki mikiki uliyopata.

Vitabu vya dini vinatuhusia neno moja, kuhusiana ana amri aliyoitoa mwenyenzi Mungu ya kuheshimu wazazi, jambo hilo ni kuwa " wazazi tusiwachokoze watoto" neno hili linamaana kubwa mno, kwamba ili amri ile ya kuheshimu itimie vyema basi uchokozi unatakiwa usiwepo.

Mzee wangu, umri niliopo mimi pamoja na wenzangu wengi ni umri ambao bado tunakuza watoto wanaokwenda shule, watoto hao wanahitaji kuishi katika Tanzania yenye misingi tuliyoikuta sisi na kubwa zaidi ni amani.

Kwa umri wako wewe , na kwa nafasi yako, ni jambo lisilo pingika kuwa " you have achieved it all" that means " you have nothing to lose" , hivyo basi hata kama yakitokea yatakayotokea kwako wewe hakuna cha kupoteza.

Kumbuka kwamba bado kuna vijana wadogo, ambao hawajatimiza ndoto zao, lakini wanatumaini kuzitimiza kama wewe, hivyo kuwaondolea amani ni dhambi.

Sote tunahitaji amani na ustahimilivu kwa manufaa ya ustawi wa taifa bora, si lazima kila kitu kifanyike sasa, imani yangu inanituma katika kusubiri , hapo ndio siri ya ustawi ilipo, mataifa yote makubwa yamekuwa hapo ya lipo kwa kuvumiliana na kupitia nyakati mbali mbali na zenye kutikisa nchi lakini wamefanikiwa kuwa na mataifa bora yenye uchumi imara kwa kuwa na subira.

Hivyo basi si lazima serikali tatu ziwe sasa, ukifika muda wake muafaka, hizo tatu hata kumi zitapatikana, lakini kama kwa kipindi hiki hizo tatu hazielekei kupatikana, basi ni maombi yangu kwamba tuache kulazimisha mambo at the expense of our country's peace and security.

Natumai, haya yamekufikia vyema,

Wako mjoli,

Stroke.
 
...

....Makondalizimu kielelezo cha nidhamu chafu sisiemu !!!
 
Kamwambie mzee Sitta na Wassira.Hata wao wakae chini,wameshalitumikia taifa vya kutosha.
Hata mzee Kikwete naye kachoka,asiharibie wengine future yao.
 
Kwa hiyo huyu mtu anayejiita sttoke anaona sawa wananchi wasielezwe kilichoko kwenye andiko la 6 na chenga? Hata kama kuna kuuawa it should be known that a person dies only once. Kila mtu ana haki ya kuongea ili mradi havunji sheria. Watu watapigaje kura kama hawajui kilichoko kwenye hizi rasimu? Stroke, hata wewe unaweza kuchukua jukwaa somewhere na kuwaeleza wananchi ubaya wa serikali tatu na uzuri wa serikali mbili na siyo kuwafunga watu mdomo. We are all equal before the law.
 
Huyu atakuwa makond au asenga wa panya sijui....ndio akili zao.
 
Kweli wewe ni stroke maana inaonesha kwa stroke yako umeisha kata tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Nothing can be achieved without struggle. Ukisema utakaa tu then mambo yajiset yenyewe utasubiri miaka mingi.
 
Wewe ni wakupuuzwa.

Huna tofauti na Nape kudharau wazee na kusema wamekaribia "kufa"

Hivi Profesa na genge lake si wazee?

Wao unaona hawataleta machafuko kwa kukataa maoni ya wana wa nchi?
 
ovyo sana stroke kama kuijadili na kuelimisha juu ya katiba itaondoa amani ya nn ipigiwe kura? nani wanaondoa amani kati ya mafisadi na wazalendo?huna hata huruma?tafuta wa tz. uwarubuni kuwa amani amani! Amani ni tunda la haki hadi hapo wewe huoni dhuluma tutendewayo?au mpaka kijana wako aje kuolewa?ukiona mwenzako ananyolewa.......!
 
Warioba haongelei serikali tatu tu, yapo mazuri na mapungufu mengi kwenye katiba iliyopendekezwa na hao unaowaita 'they have nothing to lose' akina Kingunge, 6, Chenge n.k

Baadhi ya mapungufu hayo ni 'MIIKO YA UONGOZI, TUNU ZA TAIFA .........
Baadhi ya mazuri ni 'HAKI ZA BINADAMU'....na hili lilipongezwa na Warioba

Wananchi wana haki ya kupata ELIMU kuhusu mazuri na mapungufu ya katiba pendekezwa
 
Naona Mleta Mada Kavurugwa,Anadhani watz wote ni mbulura kama yeye! Jibuni hoja za mh warioba kwa hoja na si hivi viroja mnavyoandika hapa visivyo na kichwa wala miguu
 
kweli umepigwa stroke.....akili na mwili wako wote umepigwa ganzi
 
huyu kama si matingo basi ni yule kipofu wake
 
We mshikaji akili kidogo zimekutuma vibaya na has a huo ushabiki na uccm wako. MzEE wa watu umesikia hataki amani? Hajafanya hats moja lisiloelekea katika a man I.. Ika watu kama wewe ndio mnaowapotosha watu kuwa asiyeridhika na katiba kandamizi ( lazimshwa ) bbasi huyo hataki amani. Kijana wewe ( kama kweli maana kijana wa sasa hafikrii kama wewe ufikiriavyo) badilika.
 
Salam kwako,

Uliyekuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya katiba.

Kwa uelewa wangu na wengine wengi, historia inatufundisha kuwa umewahi shika nafasi mbali mbali za kiuongozi katika taifa letu hili pendwa.

Si jambo jepesi na inatokea kwa watu wachache mno kuweza pata nafasi tofauti za uongozi wa juu katika nchi tena kwa vipindi tofauti, hili pekee linatosha kuonyesha kwamba wewe ni mtu mweledi na mchapa kazi, sifa mbayo watawala waliona ni vyema kukitumia kipaji chako katika kulisaidia taifa hili, tunashukuru sana.

Taifa kwa sasa lipo katika mchakato wa kupata katiba mpya ambayo wewe na wenzako wachache mliteuliwa na Rais wetu, na kukabidhiwa jukumu la kukusanya maoni yetu ili baade, mawazo yetu na matarajio yetu yawe kauli moja kama taifa , kazi ambayo mliifanya vizuri, na tunawapongeza sana kwa hilo.

Hatua ya sasa ambayo ni muhimu ni kwa pendekezo la katiba lililohakikiwa na bunge, kama mhimili mwingine wa dola , kupelekwa kwa wananchi ambao ndio wenye maamuzi ya mwisho kama wanakubali mapendekezo hayo au la.

Wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusiana na yaliyomo katika mapendekezo hayo, ili muda unapofika wa kufanya hivyo wafanye maamuzi sahihi.

Watu, taasisi na vyama vimechukua jukumu hilo kwa ajili ya kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya maamuzi sahihi, ni jambo la heri kwa ustawi wa taifa letu.

Hivi majuzi tumesikia na kuona yale yaliyotokea pale ubungo, jambo ambalo sitaki nilizungumzie sana kwani limeshazungumziwa na wengi na sihitaji kurudia rudia kwani nitakua nawachosha wengine. Yaliyotokea yametokea, na binafsi nakupa pole na mikiki mikiki uliyopata.

Vitabu vya dini vinatuhusia neno moja, kuhusiana ana amri aliyoitoa mwenyenzi Mungu ya kuheshimu wazazi, jambo hilo ni kuwa " wazazi tusiwachokoze watoto" neno hili linamaana kubwa mno, kwamba ili amri ile ya kuheshimu itimie vyema basi uchokozi unatakiwa usiwepo.

Mzee wangu, umri niliopo mimi pamoja na wenzangu wengi ni umri ambao bado tunakuza watoto wanaokwenda shule, watoto hao wanahitaji kuishi katika Tanzania yenye misingi tuliyoikuta sisi na kubwa zaidi ni amani.

Kwa umri wako wewe , na kwa nafasi yako, ni jambo lisilo pingika kuwa " you have achieved it all" that means " you have nothing to lose" , hivyo basi hata kama yakitokea yatakayotokea kwako wewe hakuna cha kupoteza.

Kumbuka kwamba bado kuna vijana wadogo, ambao hawajatimiza ndoto zao, lakini wanatumaini kuzitimiza kama wewe, hivyo kuwaondolea amani ni dhambi.

Sote tunahitaji amani na ustahimilivu kwa manufaa ya ustawi wa taifa bora, si lazima kila kitu kifanyike sasa, imani yangu inanituma katika kusubiri , hapo ndio siri ya ustawi ilipo, mataifa yote makubwa yamekuwa hapo ya lipo kwa kuvumiliana na kupitia nyakati mbali mbali na zenye kutikisa nchi lakini wamefanikiwa kuwa na mataifa bora yenye uchumi imara kwa kuwa na subira.

Hivyo basi si lazima serikali tatu ziwe sasa, ukifika muda wake muafaka, hizo tatu hata kumi zitapatikana, lakini kama kwa kipindi hiki hizo tatu hazielekei kupatikana, basi ni maombi yangu kwamba tuache kulazimisha mambo at the expense of our country's peace and security.

Natumai, haya yamekufikia vyema,

Wako mjoli,

Stroke.

Bwana Stroke pole sana na kupata stroke! Na sijui kama matibabu ya bure yanapatikana kule Mwananyara au Muhimbili ili ukatibiwe! Wewe una matatizo kabisa. Katiba iliyopendekezwa na wananchi si kwamba kigezo kikubwa ni serikali tatu tu, bado kuna vitu vingine wananchi hawavitaki kabisa. Mfano, wananchi kuwa na uwezo wa kumuondoa mbunge wakati wowote asipofanya ya kweli, madaraka ya rais, na vingine vingi! Hivi wewe ni kati ya wale wanaotoka kzk ukoo wa panya?
 
Mleta mada ninatamani kichwa chako ingawa sinauwezo wa kutangaza dau tuondoleye usssengeee wako peleka kwa baba yko tuachiye mzee wetu warioba tunampenda na tutamlinda kwa gharama yoyote
 
Salam kwako,

Uliyekuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya katiba.

Kwa uelewa wangu na wengine wengi, historia inatufundisha kuwa umewahi shika nafasi mbali mbali za kiuongozi katika taifa letu hili pendwa.

Si jambo jepesi na inatokea kwa watu wachache mno kuweza pata nafasi tofauti za uongozi wa juu katika nchi tena kwa vipindi tofauti, hili pekee linatosha kuonyesha kwamba wewe ni mtu mweledi na mchapa kazi, sifa mbayo watawala waliona ni vyema kukitumia kipaji chako katika kulisaidia taifa hili, tunashukuru sana.

Taifa kwa sasa lipo katika mchakato wa kupata katiba mpya ambayo wewe na wenzako wachache mliteuliwa na Rais wetu, na kukabidhiwa jukumu la kukusanya maoni yetu ili baade, mawazo yetu na matarajio yetu yawe kauli moja kama taifa , kazi ambayo mliifanya vizuri, na tunawapongeza sana kwa hilo.

Hatua ya sasa ambayo ni muhimu ni kwa pendekezo la katiba lililohakikiwa na bunge, kama mhimili mwingine wa dola , kupelekwa kwa wananchi ambao ndio wenye maamuzi ya mwisho kama wanakubali mapendekezo hayo au la.

Wananchi wanahitaji kuelimishwa kuhusiana na yaliyomo katika mapendekezo hayo, ili muda unapofika wa kufanya hivyo wafanye maamuzi sahihi.

Watu, taasisi na vyama vimechukua jukumu hilo kwa ajili ya kuhakikisha kwamba wananchi wanafanya maamuzi sahihi, ni jambo la heri kwa ustawi wa taifa letu.

Hivi majuzi tumesikia na kuona yale yaliyotokea pale ubungo, jambo ambalo sitaki nilizungumzie sana kwani limeshazungumziwa na wengi na sihitaji kurudia rudia kwani nitakua nawachosha wengine. Yaliyotokea yametokea, na binafsi nakupa pole na mikiki mikiki uliyopata.

Vitabu vya dini vinatuhusia neno moja, kuhusiana ana amri aliyoitoa mwenyenzi Mungu ya kuheshimu wazazi, jambo hilo ni kuwa " wazazi tusiwachokoze watoto" neno hili linamaana kubwa mno, kwamba ili amri ile ya kuheshimu itimie vyema basi uchokozi unatakiwa usiwepo.

Mzee wangu, umri niliopo mimi pamoja na wenzangu wengi ni umri ambao bado tunakuza watoto wanaokwenda shule, watoto hao wanahitaji kuishi katika Tanzania yenye misingi tuliyoikuta sisi na kubwa zaidi ni amani.

Kwa umri wako wewe , na kwa nafasi yako, ni jambo lisilo pingika kuwa " you have achieved it all" that means " you have nothing to lose" , hivyo basi hata kama yakitokea yatakayotokea kwako wewe hakuna cha kupoteza.

Kumbuka kwamba bado kuna vijana wadogo, ambao hawajatimiza ndoto zao, lakini wanatumaini kuzitimiza kama wewe, hivyo kuwaondolea amani ni dhambi.

Sote tunahitaji amani na ustahimilivu kwa manufaa ya ustawi wa taifa bora, si lazima kila kitu kifanyike sasa, imani yangu inanituma katika kusubiri , hapo ndio siri ya ustawi ilipo, mataifa yote makubwa yamekuwa hapo ya lipo kwa kuvumiliana na kupitia nyakati mbali mbali na zenye kutikisa nchi lakini wamefanikiwa kuwa na mataifa bora yenye uchumi imara kwa kuwa na subira.

Hivyo basi si lazima serikali tatu ziwe sasa, ukifika muda wake muafaka, hizo tatu hata kumi zitapatikana, lakini kama kwa kipindi hiki hizo tatu hazielekei kupatikana, basi ni maombi yangu kwamba tuache kulazimisha mambo at the expense of our country's peace and security.

Natumai, haya yamekufikia vyema,

Wako mjoli,

Stroke.

kwanza nikupongeze kwa andishi lako zuri ila mwishoni umetaka kuharibu, mzee WARIOBA WALA HATAKI KULETA VITA, wala halazimishi serikali 3, katika hoja zake kuna mambo ya tunu, maadil,i uwajibikaji hayo nayo kweli wakati wake BADO??????????????
 
IMG_0133.JPG
 
Kwa uelewa wako na wa wengine, umejuaje uelewa wa wengine?

Warioba kuwa kiongozi mstaafu is a simple, clear, fact, haihitaji "kufundishwa na histroria!"

Tumenyimwa elimu Watanzania, tunapendekeza katiba mbovu kwa sababu uwezo wetu wa kuchambua mambo, kusoma, kuandika, mdogo sana.
 
Back
Top Bottom