Salamu toka kwa Rev.Masanilo

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Pweza DSC02879 (2).jpg
Nimepokea salamu kutoka kwa mchungaji Masanilo kwa kupitia ujumbe mfupi anawasalimu sana, anasema yeye anaendelea fresh na kifungo alicho pewa, kifungo kikiisha Inshallah tutawakuwa nae tena. Ila anawamiss sana wapwaz wote pia na kondoo wake wote kwa ujumla.
Anawapenda hata wabaya wake

attachment.php

Kama Ujumbe wake unavyo sema hapo juu. Yeye bado yupo zenji
 
Mwambie namsalimu pia na awe mvumilivu soon tutakuwa nae pamoja.
 
View attachment 21399
Nimepokea salamu kutoka kwa mchungaji Masanilo kwa kupitia ujumbe mfupi anawasalimu sana, anasema yeye anaendelea fresh na kifungo alicho pewa, kifungo kikiisha Inshallah tutawakuwa nae tena. Ila anawamiss sana wapwaz wote pia na kondoo wake wote kwa ujumla.
Anawapenda hata wabaya wake

Tunamsalimu japo tunammisi ila nakuomba hivi mwulize MS afya yake ikoje huko jela??ameshazoea maisha yakulala saa 9 mchana??:)
 
Masikini Rev Masanilo!!! Hivi itakua ni kwa kuchangia vihoja vya MC Tambwe Hizza ndio zitakua zimemtupa lupango au Nundu ya Intelijensia ya Mzee Maropes?????????

Hebu Wana JF tumweke hapa japo vibao viwili vitatu hivi vya kuliwaza wafungwa jela ili akipitishiwa japo kasimu ya afande magereza na minya minya hapa jukwaani basi yeye na MS wakajiliwaze taratibu huko.

Rev Masanilo, masera wote wanakupa hai, yule mdogo wako wa kike wajanja walishamuachisha shule ana ujauzito miezi sita na Dowans nayo inakaribia kujibu bungeni.
 
ah ah ah mwabie wote waloletea maendeleo nchi zao walipitia jela{wengi wao} so na yy tunaamini atakuja kutoka huko akiwa na nguvu mpya,tunamtakia kifungo chema tunaamini soon atakuwa bac,nikipata nauli ntaenda kumtembelea
 
Ujumbe umefika mwenyewe anaingia kama Guest hapa
 
hee,kumbe yupo kwa kifungo.
nampa pole sana
pole yangu inabebwa na dedication ya wimbo wa safari sio kifo-wazee wa masauti
 
Pole Uncle kwa kifungo, jitahidi kulamba ndimu kwa wingi, malimao na hata ukwaju ili ukirudi uje utupe story adimu...we miss u!
 
Akimaliza kifungo aende rehab kwa miezi mingine sita. Hapo atakuwa kasahau kabisa bangi, mirungi na gongo.

Na akirudi tumeshatunga katiba mpya na chadema itakuwa imeshaunga na CUF, TPL na NCR Mageuzi.

Rest in jela.
 
MMMhhhh! sie wa Tanga hivo vitu twaviweza sana tu!
kitu cha pweza tena...looh!
 
Mwambie tunammis sana asiwe na wasiwasi na wa ubani wake namtunzia akitoka jela atakuta amenawirii saaana.. We real miss you :disapointed:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom