Hahahaahahahaaaaa huyu Blaki Womani sijui kakamatika wapi maana hata mimi simwoni aisee hebu wasiliana na Arushaone anaweza kuwa anajua yuko wapiJamani na kukaa kote jana?
Halafu Blaki womani mbona simuoni?
Mtafute bhana.
Hahahaahahahaaaaa huyu Blaki Womani sijui kakamatika wapi maana hata mimi simwoni aisee hebu wasiliana na Arushaone anaweza kuwa anajua yuko wapi
Hahahaaaaa unashtuka nini sasa?Hapana..
Vipi kwani? Umenishtua...
Hajambo yule ndugu yetu?
Sijui ni mbio za sakafuni lol
Hebu ukimwona mwambie aje faster atoe maelezo
Hahahaaaaaa halafu mbona humfanyii Arushaone na ruttashobolwa kama ulivyomfanyia Ruhazwe JR ?Jidanganyeni hvyo hvyo!!
Atamwagwa mtu Ubongo na Muhaya wangu.
Hahahaaaaa unashtuka nini sasa?
Au ulidhani nakurudishia cha moyoni wako?
Hajambo ila hata mimi nahisi nimezungukwa na PakaJimmy coz tangu waonane sijawaona tena wote kokote sijui wamejifungia wapi
Hahahaaaaaa halafu mbona humfanyii Arushaone na ruttashobolwa kama ulivyomfanyia Ruhazwe JR ?
Mi nangoja itokee ila naona unakomaa nao tu
Hahahaaaaa humu mi sijasema neno asije nitoa kifanyio changu bure lol
Hahahaaaaa humu mi sijasema neno asije nitoa kifanyio changu bure lol
Nipo mbona, umenitafuria wapi?Asante kwa salam, nakukumbuka pia.
- Binafsi namtumia salam dada afrodenzi popote alipo. Ujumbe wa leo: Raha ya salam kurudishiana. Salam zangu zisindikizwe na wimbo: shadow dancer wa Lokua Kanza