Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Ila JF unaeza kuta hatufiki hata members 50😂😂 ni kwa taadhari tu my wangu
Watu wanajitia vivazi vipya tu 🤣
Ila JF unaeza kuta hatufiki hata members 50😂😂 ni kwa taadhari tu my wangu
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.Jamani wanajamvi mi ni mgeni ninaomba tushirikiane sote katika mijadala, mahojiano, maswali na matukio ya kila siku ya kitaifa na kidunia.
Salamu kwenu nyote.
We ni new comer au umebadili kivazi tu?