Juma1973
Member
- Jul 19, 2013
- 42
- 14
~Kama salam ni aibu
niko tayari niaibike kwa ajili yenu.
~Kama salam ni mali
niko radhi nifilisike
kwa upendowangu kwenu.
Kama salam ni
lawama ni bora
nilaumiwejuu yenu.
~Kama salam ni
kosa, niko radhi
nikosolewe lakini
kuwasalimu
sitoacha kamwe.
ASSALAAM ALEYKUM
niko tayari niaibike kwa ajili yenu.
~Kama salam ni mali
niko radhi nifilisike
kwa upendowangu kwenu.
Kama salam ni
lawama ni bora
nilaumiwejuu yenu.
~Kama salam ni
kosa, niko radhi
nikosolewe lakini
kuwasalimu
sitoacha kamwe.
ASSALAAM ALEYKUM