Salamu Baba na Mama
Nazituma kwa furaha
Bila shaka zitafika , mfurahi nyote bila manung'uniko wapenzi oohh...
Wazazi ninafuraha sana kuwakumbuka nyie,
Wala msiwe na shaka juu yangu mie
Na mimi nawaombea heri na baraka nyote..
Daah, nimekumbuka mbali sana mpaka machozi.............
View: https://www.youtube.com/watch?v=GT-1pIJyRAE