Salam

Salam

Hay! Niajeh wenyeji Im a newer here! Huku patamu kama fb kweli

Salaam alhabiby, utamu wa huku unategemea wewe una interest zepi, kwa zogo tu, Chit-Chat ndo mahala pake, ukitaka kichwa kiume kidogo, kuna jukwaa lipo kule juu laitwa la siasa.
Kabla tuendelee, wewe wa kivulana au wa kisichana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom