Salam za mwaka mpya toka ughaibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salam za mwaka mpya toka ughaibuni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Dec 31, 2010.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  heri ya mwaka mpya wana JF wote na poleni kwa mgao wa umeme.kama wewe ni msichana mwanamke upo tz na hujaolewa i mean upo single,uliachika , dini yoyote , umri wowote hata kama ulishazaa mtoto mmoja lakini unaweza kuni pm. Sikukuu njema
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mmmh akuPM kuhusu nini sasa?Unataka kumpeleka ughaibuni kumuondolea adha ya mgao?
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,043
  Likes Received: 3,801
  Trophy Points: 280
  Heri ya mwaka mpya kwako pia.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Heri ya mwaka mpya mhh Ivuga wewe
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Watakupm subiria.
   
 6. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  asante heri ya ,mwaka mpya ivuga.
   
 7. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,030
  Likes Received: 2,633
  Trophy Points: 280
  Mzee umeamua kuokoteza masalia, imekuwaje tena unataka yeyote ili mradi demu?
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  namleta huku kama nataka apigwe kidogo na baridi
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  nataka kutafuta mpwete ambaye anafikiri hapendwi i mean nataka kutoka kivingine..
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mi nataka!Jua na vumbi vishanichosha!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  vipi unanipm?
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  unavigezo gani? sitaki kukuuliza hata umri wako...sheria zangu mwanamke haulizwi umri hata siku moja
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Kwani we unataka vigezo gani??Mi mnene kidogo...rangi ya kiAfrika...nimeishia form 4...mchapa kazi na mpenda maendeleo!
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,396
  Likes Received: 34,300
  Trophy Points: 280
  Halafu akishapigwa na baridi? Kipi kitafuata? unamrudisha tena bongo? Nachokoza tu LOL!

   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  lahaula !! hayo ndio mambo nnayoyataka basi..yaani uliposema rangi ya kiafrica ndio ukaniua kabisa .Arusha kwanza ndio home town nabidi unipm tuongee vizuri.uko tayari lakini kuchukuliwa?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,545
  Trophy Points: 280
  hadi atake mwenyewe mm sina utaratibu wa kuacha acha kama kian tiamo
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  BAK nimepata safari ya kwenda ulaya...embu niambie wangu niende nikashangaeshangae na mimi?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Wewe huku UngaLTD kunavyotisha hata kesho njoo unichukue!Ila kwanza nipe vigezo vyako!Alafu usikute unataka kunichuna ngozi ndo maana unafurahia ya asilia!
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Love! mchungaji atatuma salamu kesho saa za bongo! Be blessed all! nawapenda wote
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mchungaji kakataa kushiriki maombi ya mwaka mpya na mimi...nimesikitika!
   
Loading...