Salam za mwaka mpya: Je Maaskofu watajibiwa?

Salam za mwaka mpya: Je Maaskofu watajibiwa?

Mbona jibu ni rahisi tu!!
Mkuu wa nchi anasali katika kanisa katoliki na kwa mantiki hiyo viongozi wa Kanisa wana nafasi kubwa ya kumshauri pembeni/ndani badala ya magazeti au social media.
Ikiwa unapata nafasi ya kukutana na mkuu na akakupa fursa ukatiririka,kuna haja gani kwenda kwenye magazeti?
Inakuwa ni kirafiki ama official kiserikali?
 
Imekuwa ni utaratibu mpya zama hizi, serikali na idara zake kusoma nini kimetokea mitandaoni ama kuna mjadala gani na wao kuja na majibu kwa mtindo huohuo ama kuandaliwa hafla fulani na huko majibu ya kufungia mjadala hutolewa.

Kuna shida mahali kwenye organs za serikali, hawana team work, hawana mawasiliano, hawaachiani majukumu nani aseme nini... Kikitokea kitu wengine bila hata kuulizwa tayari wana post mitandaoni kujibu, hapo utafuata msururu wa majibu na yote yakiwa ni ya wasemaji ama viongozi wanaoiwakilisha serikali... Na mpaka leo hawaoni kuwa hili ni tatizo... Wajitahidi mwakani kuwasiliana wao kwa wao... La kichama lijibiwe na msemaji wa chama la kiserikali lijibiwe na wanaohusika... Na wajibu hoja kwa hoja na sio mipasho, vitisho na kejeli....

Askofu Zakaria Kakobe kawa mshindi wa drama za mwaka mzima, kafunika bovu... Matamko yametoka kila kona ya viongozi wa nchi... Bahati mbaya sana hakuna aliyeweza kujibu hoja zake hata mmoja... Pengine atajibiwa wakati wa salam za mwaka mpya
Nilikuwa na hamu ya kujua ni drama gani itatufungia mwaka... Nikajaribu kufanya makisio, kamwe sikujua litakuja hili... Japo linaweza kutafutwa tukio la kufunika hili.... Tusubiri bado masaa zaidi ya 24 kubadili mwaka.

Kitu kingine cha kusikitisha ni kwamba hata hao viongozi na wasemaji wa serikali katika kujibu mapigo wameshindwa kabisa kujitenga kwa hoja, mwisho wa siku nao wamezua malumbano tu kama malumbano mengine mitandaoni nao wamekuwa sehemu ya kebehi ubabe na vitisho... Hakuna hata mmoja alikuja na hoja ama majibu makini... Labda tusubiri salam za mwaka mpya.

Kuna hili andishi.. Ninaloweza kuliita andishi bora litakaloishi muda mrefu... Andiko hili ni fikirishi na limebeba ujumbe mzito sana lakini shuhudia majibu yaliyotolewa, yalikuwa majibu ya jumla mno na yalikuwa majibu yenye kukimbia ukweli... Andiko lenyewe hili hapaView attachment 663216

Tunapoelekea kuumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018, naamini kwa dhati ya moyo kuna maandiko mengine yatatolewa LAKIJI je yatavumiliwa? Yatajibiwa kwa weledi? Ama yatafanyiwa kazi kimya kimya? Je baada ya vyama makini vya upinzani kuminywa sana hii ni aina mpya ya siasa?

Nasubiri salam za mwaka mpya!!!!!
Watu walipanikishwa sana na mahubiri ya Kakobe?
Kwa nini?

Tafrani yote ya majibu na ufafanuzi wa majibu na ya haki ya kusema na kutokusema yametoka wapi?

Kakobe hakuja na tuhuma mpya hata moja na wala hakuiwasilisha kwa namna mpya?
Ni kwa nini ccm wametoa matamko kadhaa, viongozi waandamizi wa serikali nao wametoka na matamko kadhaa na mengine yakiwa na maneno yanayoashiria kitisho cha adhabu kali kwa Kakobe na wote wa aina yake.

Je Kakobe angekuwa kaisifu serikali ya JPM ingekuwepo tafrani yote hii? Je asingekuwa kachanganya dini na siasa? Kulikoni leo kakosoa imekuwa nongwa? Au kuchanganya dini na siasa ni pale tu unapokosoa?

Kwa hili la Kakobe wote tuna somo kujifunza.
 
Kakobe amenifanya nikajua kuwa huyu Mtu ni mwepesi sanaa.

Sauti ya Kakobe imekuwa kama ya simba aliyeshiba na sauti zao zimekuwa kama nyau mdogo aliyekosa maziwa.

Allah Akbar.
Takbir....!!! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wengi tunawashangaa hawa Mkuu lakini hawajachelewa kusimamia haki na uhuru wa Watanzania. Pia ukiondoa Sheikh Ponda Viongozi wa dini ya kiislamu nao wamekuwa kimya mno na wengine hata wamethubutu kuendelea kummwagia sifa huyo mtenda maovu.

Tumechoshwa na hatutaki kuishi nchi inayoongozwa kama ilivyokuwa ikiongozwa na Afrika ya Kusini na wale Makaburu na Wabaguzi wa rangi.

mkuu .mimi ni muislam japo kuwa imani ynagu haijajikita zaidi katk dini hiyo
lakini nachotka kukwambia zaidi ya SHEkhe ponda nà wale mashekhe wa uamsho usitaraji kuona SHEkhe yeyote toka katk taasisi ya bakwata akiikosoa serikali utakuwa unajialinacha...ile tasisi IPO pale kwaajili ya maslahi ya chama na serikali tu ..hayo mengine ni propaganda...tu ''nakuna mashekhe wengine niwatumishi wa TISS
 
Kwani wakuu hamna akili ya kutambua msemaji rasmi ni nani?? Huyo ndiye mumsikilize. Kuna msemaji wa serikali na msemaji pia wa sisiemu, sasa kama hamjui nani ni nani basi viongozi wenu wana kazi ya ziada kuwapa yale masomo ya ziada.
Kumbe tatizo liko kwenu.
mrisho gambo nafasi yake ni IPI hapo ?? ktk hizo nafasi 2 ulizozitaja...samahani mkuu
 
Ukiona makundi yenye misimamo tofauti na hasa tofauti za kiitikadi na kiimani yanaungana dhidi yako ni wakati mwafaka kuchukua hatua, naona makundi ya kidini yanaanza kuungana kimtazamo dhidi ya serikari, lakini pia nimesoma waraka wa Lisu ni kama pia vyama vya siasa vinaweza kuanza kuungana, tathimini ya kina inahitajika, kuna kitu mbele ya safari
 
Kwanini haukusubiri unayoongelea siku hiyo ifike kwanza.
Yaani nyie upinzani mnatia kukaa kimya hadi viongozi wenu.. na nyie mkijipigisha madebe kiunyongeee kisa JPM kaongelewa makanisani.

Mnatia huruma sana.. mwaka 2017 mmejimaliza kabisa. Acheni viongozi wenu washibe.. ila si mnaliaga au? Kuna kipindi natamani niwasaidie kuanzisha chama kipya niwape maujanja.. yaani nyie wa humu ili basi nanyi muonje pesa za ruzuku ambazo mnastahili mgao.. mmejitahidi sana ile eeeeh aiseeee.. sasa leteni hoja za kusaidia wananchi sio haya..

Ila serikalini wanalao.. na Polepole nae na chama chake nae anayake..
Tabu ingine ni nyie mnaokuza majambo na kuyageuza.. hadi kama wana makosa mnatufanya tuone wapo sawa wanachi sisi.. bikozi mnaboaaaa upinzani nyie. Mngekuwa smati mngeacha wananchi wajiulize wao makwao na kuona kama kuna makosa.. sasa hawa wameongea matatu tofauti nyie hao mnadandia hamjipimi.. eeeeeeeh JPM ananifanya niandike haya.. 2018 na siasa mie hukooooo humu ha ha haa

Ya kujibu ya mtandaoni sioni sababu ya nyie kushangaaa.. maisha ndivyo yamekuwa miaka hii.. au unataka wawasubiri upinzani muwape habari hizo mkifika bungeni.. ondia ushamba baai

Haya najiona hili ni gazeti la kufungia 2017 humu...
Umeanza chekechea au bado huu uandishi ni hovyo sijawahi kuona

Mtoto wangu ana miaka miwili anaandika vizuri kuliko jitu zima kama wewe ulietoka nywele kwenye papuchi

Shame on you, Hivi hii elimu nina mashaka nayo sana sana, Jitu nzima na manywele kibao unaandika kama konokono
 
Unambinu gani wewe kahaba za kuwa upinzani??? Kama umeshindwa kubuni mbinu za kuzuia kipochi manyoya chako kunuka,utawapa upinzani mbinu gani???

Binti unakipochi manyoya kinanuka wewe!!!! Sikuhitaji tena.pumbafu kabisa.


Hivi unaumia na maisha yako hadi unang'ang'ania kuandika kama vile tunajuana eeeeeh

Tafuta kiki kwa ID yako sio kupitia Cocochanel.. acha uvivu nenda kasake pesa uondoe stress zilizokujaaa..

Mimi huwa sifahamiana na watu uchwara kama wewe na unajijua unaishia kuwa ruva wa kwenye forum hii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jitahidi tu useme I LOVE YOU TOO JR... na kweli linakupa shida mpaka kuliandika umeliandika kivingine
Watu hujisikia vizuri wakiambiwa wanapendwa hebu fanya hivyo nami nijisikie vizuri

Eeeeeeeeh
Subiri labda Coco atabadilika mwakani.. na sio mbali ujue ni kesho kutwa tu IJN.

Uliponiita wapi ni tagi tena basi.. au ndio uzi huu eeeeh
 
Sema ukahaba wa siasa ni mgumu mnooo....na bado mtamkimbia wengi tu...huwezi kumtetea shetani ukashinda..

Buku saba kwishiney...sijuhi utaishije mjini ukiacha kuimba ngonjera za ccm oyee, hapa kazi tuu.....

Aiseeeee
ID yangu sijatumwa na mtu.. uhuru ni wangu.

Kama unataka hiyo kazi kawaombe wakupe. Acha kulia lia njaa humu alosto fido
 
Watapimwa mkojo Na kuhojiwa uraia. Kakobe kanisa lake litapimwa kwa kipimo maalum kilicho gunduliwa Na mwanasayansi NGULI askari mgambo kutoka Arusha kuona kama kanisa hilo linatumia nguvu za Mungu au za shetani. Habari ndio hiyo mshana jr
Bujibuji nakuelewaga ila Leo umenitoa bashite, nimeshindwa kuunga doti nitoe tongotongo Mkuu.
 
Umeanza chekechea au bado huu uandishi ni hovyo sijawahi kuona

Mtoto wangu ana miaka miwili anaandika vizuri kuliko jitu zima kama wewe ulietoka nywele kwenye papuchi

Shame on you, Hivi hii elimu nina mashaka nayo sana sana, Jitu nzima na manywele kibao unaandika kama konokono

Huu umeonyesha umejaa wivu juu yangu

Nami nafurahia kwasababu inaonyesha kwamba nimekuzidi kwenye idara zote

Hata huyo jini like.. unayedai ananizidi kuandika safi sana.. endelea kuwa shabiki wangu ukiyejaa wivu nami hadi upasuke ..eeeeh
 
Back
Top Bottom